Ni vyema uzima upo kaka MAPAMBANO yanaendajeSalama bruh, nipo njema kabisa
Mdg mdg tupate kulipa Kodi bruhNi vyema uzima upo kaka MAPAMBANO yanaendaje
Namna unavo wasilisha hoja, namna uvo andika maneno yako na unavotaka tuyatamke, ni dhahiri kwamba kuna moja kati ya haya mawili limepelekea kukuharibu sakili, maana umewehuka kabisaBaba yangu namchukia sana maana alitutelekeza na akamuacha mama na akakimbizana na michepuko. ila najivunia ma singo mother maana nimelelewa na single mother mpaka nilipo saiv wa mama wanaweza hakuna kama mama ila ww baba sikutambui kama mzazi wangu.
mim namtambua tuh mama yangu kipenz
Haaha nimekumbuka BIA MOJA NI MATOFARI MAWILI โบ๏ธ๐Mdg mdg tupate kulipa Kodi bruh
Sasa mzee matofali ntanunua nyumba ya kupanga ?Haaha nimekumbuka BIA MOJA NI MATOFARI MAWILI โบ๏ธ๐
Eroh mbona unakasirikia kijanaNamna unavo wasilisha hoja, namna uvo andika maneno yako na unavotaka tuyatamke, ni dhahiri kwamba kuna moja kati ya haya mawili limepelekea kukuharibu sakili, maana umewehuka kabisa
1-uliruka stage unavobarehe.
2-bado hujamaliza kubarehe.
Naunga mkono hojaSitetei kutelekeza familia ila
1. Unajua chanzo ya wao kuachana au umekuja tu kuleta uliyoambiwa na mama yako?
2. Wewe ni wa kike au kiume? Kama ni wa kiume na huo mwandiko, tumepoteza nguvu kazi.
3. Suala la single parent (hasa single mother) sio la kujivunia. Linachangia mmomonyoko wa maadili kwenye familia na jamii. Yaani huyo single mother kila mwanaume anajipigia tu na kuondoka zake. Wanafundisha nini watoto wao wa kike na kiume?
Yote kwa yote. Wanaume tuache kuzalisha ovyo ovyo. Ni bora ubaki single na ule tu maisha kuliko kuzalisha ovyo ovyo. Hiyo ni mbaya.
Mama yako alikuambia sababu za baba kukimbilia kwa mchepuko?Baba yangu namchukia sana maana alitutelekeza na akamuacha mama na akakimbizana na michepuko. ila najivunia ma singo mother maana nimelelewa na single mother mpaka nilipo saiv wa mama wanaweza hakuna kama mama ila ww baba sikutambui kama mzazi wangu.
mim namtambua tuh mama yangu kipenz
Aggression is the best approach sometimes. Tofautisha anger na aggression, ni vitu viwili tofauti. Kama huelewi tofauti yake utapishana sana na watuEroh mbona unakasirikia kijana
Usimchukie baba yako kwanza humjui baba yako au kosa sio lake utakuta mama yako alifumaniwa baba yako akaona isiwe kesi akasepaBaba yangu namchukia sana maana alitutelekeza na akamuacha mama na akakimbizana na michepuko. ila najivunia ma singo mother maana nimelelewa na single mother mpaka nilipo saiv wa mama wanaweza hakuna kama mama ila ww baba sikutambui kama mzazi wangu.
mim namtambua tuh mama yangu kipenz
samahan mkuuAggression is the best approach sometimes. Tofautisha anger na aggression, ni vitu viwili tofauti. Kama huelewi tofauti yake utapishana sana na watu
Me naomba tuungane na mleta uzi tumtafute baba eke mzazi then tumuombe msamaa kwa huu uzi kuwepo hapa. Japokua hajatajwa jina, lakini mleta mada hana ukomavu wa kifikrasamahan mkuu
Me naomba tuungane na mleta uzi tumtafute baba eke mzazi then tumuombe msamaa kwa huu uzi kuwepo hapa. Japokua hajatajwa jina, lakini mleta mada hana ukomavu wa kifikrasamahan mkuu
Tunamshukuru huyo baba yako aliyekuchagulia mama bora na imara. Angezaa na mama lialia asiyewajibika huenda usingekuwa hapo. Baba ni baba bora he chose the best mother for you.Baba yangu namchukia sana maana alitutelekeza na akamuacha mama na akakimbizana na michepuko. ila najivunia ma singo mother maana nimelelewa na single mother mpaka nilipo saiv wa mama wanaweza hakuna kama mama ila ww baba sikutambui kama mzazi wangu.
mim namtambua tuh mama yangu kipenz