Nasian Ressy
Member
- Jul 12, 2026
- 68
- 150
Baba yangu namchukia sana maana alitutelekeza na akamuacha mama na akakimbizana na michepuko. ila najivunia ma singo mother maana nimelelewa na single mother mpaka nilipo saiv wa mama wanaweza hakuna kama mama ila ww baba sikutambui kama mzazi wangu.
mim namtambua tuh mama yangu kipenz
mim namtambua tuh mama yangu kipenz