Najivunia rangi nyeusi


Na kwa Nilotes jee?......haujataja!
 
Lol.. hii 'sired' imenikumbusha kastory fulani...
Mwafrika alienda kupunga upepo beach akiwa na fuko lake la ndizi, pembeni yake alikaa mzungu ambae alikua amekuja na sokwe wake kupunga upepo.
Mida fulani, mwafrika akaenda chooni huku fuko lake la ndizi akiwa amemuomba mzungu amtazamie. Lahaulaaaa!!!! kurudi lile fuko liko tupu huku maganda yakiwa pembeni na sokwe akiwa anajiramba kumalizia uhondo wa ndizi. Mwafrika akamlalamikia mzungu. Ila jibu alilotoa mzungu lilikua "he is your brother, l couldn't stop him"
Jamaa akamezea ingawa ilimuuma. Kama bahati, mzungu nae akaenda chooni huku akiwa amemuacha sokwe wake chini ya uangalizi wa mwafrika. Aliporudi, akakuta sokwe wake amepigwa sana mpaka anatoka damu. Mzungu akapanick kutaka kujua kipi kimejiri. Mwafrika hakua na jibu lingine zaidi ya "Its a family matter, dont bother"....
 
No mimi sio mchina wala mzungu ila ni mweupw kwa sura lakini kwa kweli nafagilia sana ngozi nyeusi na nadhani nitaishia kuoa mwanamke mweusi@name
 
Weka picha na nyuzi joto ulizonazo....Nikijiridhisha ntakuPM kukupongeza na mengineyo.!
 
Kula bata inaanzia ngapi? Na wanashop nini na wapi?

Na Faraja anakula bata na kushop?

Weweweeeeeeeeeee Faraja utampambanisha na Killy Janga? Jesca? Diana? Aaaah wapi! Wenzio hao wako level zingine, SHOPPING NEWYORK na PARIS hakuna maduka bongo ya kuwafaa. Sema watu wa kimya kimyaaaa sanaaa.
 

very funny
 
Nina demu mspain kisa rangi yangu nyeusi....!!!!😛😛
 

Jungle monkeys hahahaha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…