Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,297
Aah machozi yananilenga lenga yaani hamna huruma kiasi hicho? Yaani tunabeba zege mpaka ghorofa ya 9 afu malipo kiduchu bado tukija kwenu kutaka faraja ya dk 10 na nusu bado mnaona haitoshi mkuu eti lituchome lituchome
Kama haujafikisha 25 basi hatuna binti hapo masikin
unapenda kitonga wewe - tumekushtukia.
Hahahaaa bint mnaye tena mwenye akili zulizoenda shule
Hahahaaa mkuu kazi ngumu zinazeesha.
Mimi nikifel tu nakimbilia kuolewaaa.
Hahahaaa bint mnaye tena mwenye akili zulizoenda shule
Kuna siku#cute b ulikuwa unevurugwa kuna huzi mmoja ulikuwa jf ulikuwa unajibu kama vile unastress million ila Leo naona uko vizuri sana hope siku yako ilienda vizuri sana Jana,na yawezekana jana ulipata kitu roho inapenda
Hahahaaa kujibu kama nina stress ndo aje mkuu? Kinyonge au?
Ulipanik sana bi Dada wazee WA saikolojia tukajiongeza kuwa mtoto huenda anastress million
Si mpaka umpate huyo wa kukuoa..maana siku hizi wasomi wanaoa wasomi wenzao...wafanyabiashara hivo hivo....i hearf kaka yangu anasema ooonh grace kapata four namuacha maana kila kitu kitakua ziro ziro
Hahahaaa hamna bhana siwagi na stress nikazimalizia jf mkuu wangu.
OK pamoja sana karibu kijijini kwetu ,tunalima,maisha yanaenda
Wapo mkuu wengi sana.
wanahonga kama hawana akili nzurii
Akuuu mimi sitaki kukaribishwa kijijini bhanaa wew endelea kulima siku ukiuza mazao njoo mjin nitafute
Hivi wewe cute b ni me au ke???? sikuelewielewi unajua?
Lakini kuzaliwa mwanaume siyo lazima uteseke, na kuzaliwa mwanamke siyo lazima uwe na unafuu. Pia kufeli hiyo mitihani haimanishi ndiyo kuanguka kwenye maisha. Tofauti ni kwamba mwanume anazaliwa na akili nyingi na kujitambua kuliko mwanamke. Mwanaume akishindwa jambo moja atajaribu lingine, ila mwanamke akishindwa jambo moja ataanzisha lawama na kutafuta urahisi.
utaishia kupigwa pipe all the time