miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,803
- 49,109
wanaume .. wanatumwagia wanasepa kitu kinaota tumboni tu kinakutesa balaa halafu unazaa kwa uchungu unachanwa halafu ukija kitaa wanatuita makopo ... wapigwe jua nasema tena jua liwachome na hela zao tutazila tu bila hurumaHahahaaaaa wakina nani hao?
Wapo mkuu wengi sana.
wanahonga kama hawana akili nzurii
Raha tupu
wanaume .. wanatumwagia wanasepa kitu kinaota tumboni tu kinakutesa balaa halafu unazaa kwa uchungu unachanwa halafu ukija kitaa wanatuita makopo ... wapigwe jua nasema tena jua liwachome na hela zao tutazila tu bila huruma
Hahahaaa mkuu kazi ngumu zinazeesha.
Mimi nikifel tu nakimbilia kuolewaaa.
Unajifariji ila ukweli unaujua, wasichana wangapi wanaobahatika kuolewa siku hizi? Nina mtoto wa kike pia but najitahidi kumlea katika maadili mema na nitajitahidi kumsomesha mpaka atakaposhindwa mwenyewe, kwa baraka za mwenyezi MUNGU, ataolewa hatimaye, refer to isaiah 4:1.
wanaume .. wanatumwagia wanasepa kitu kinaota tumboni tu kinakutesa balaa halafu unazaa kwa uchungu unachanwa halafu ukija kitaa wanatuita makopo ... wapigwe jua nasema tena jua liwachome na hela zao tutazila tu bila huruma
OOh! Kumbe wa kuhonga! Mi nilifikiri wa kutulia nae. Basi poa
Hata Ukituficha najua kuna wakati unalia mwenyewe kwasababu ya jinsia yako ingawaje hapa unazuga nyuma ya pazia kila mwanamke huwa analia kilio kinachohusishwa na ujinsia wake
Njoo nikuoe mimi utapata raha zaidi ya uyo
Wengi wenu mnadhani huwa tunawapenda sana lkn ktk tafiti nyingi zinaonyesha men love once,zingine ni kupiga tu,namnapigwa kweli kweli maana hakuna namna mtaacha kupigwa
ubaya ni kwamba siku hizi hakuna anayetaka goal keeper.
Unaanza kuhongwa kwanza ndo uamue kuolewa.
Nani anataka kuolewa na bahili? Honga kwanza ndoa itafuata
Kinachouma zaidi ni kwamba hao hao akina dada tunavuja nao jasho kwenye kazi mbali mbali, mabenki, MADAKTARI, manesi, walinzi n.k, mnajivunia kuhongwa mbona siku hizi wimbi la sisi kuhongwa linaongezeka daily? Zamani ilikuwa hivyo, mambo siku hizi ni vice versa.
Sikatai cute b,tunawahonga ila sijui kwa wenzangu. Mimi wanawake wengi nimewapata bila kuhonga, na wale niliowahonga mara ya kwanza, baada ya kuwapitia kibao kiliwageukia wao kunihonga mimi, sometimes mpaka huruma jamani, mtu anakupandia basi toka bukoba, arusha? Na akifika anajigharamia mwenyewe Lodge na msosi hata wiki nzima!Hahahaa mkuu wew mlee tuu kwa maadili mema na afaulu shule. Maana akifeli lazma achune tuu na anaweza akafaulu na bado akachuna tuu hela ya wanaume ni tamu sana
Wanaume wahongaji sio waoaji kama ulikuwa hujui. Akikuoa basi ujue mtakuwa wengi pia, Na uwe tayari kwa hilo.