Najivunia kuzaliwa wa kike

Najivunia kuzaliwa wa kike

cute b

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
16,878
Reaction score
34,293
Raha tupu
 
Attachments

  • 1435991016797.jpg
    1435991016797.jpg
    14.2 KB · Views: 10,949
Huu ni mtazamo finyu wa maisha. Kufanya kazi si mateso/shida, na kuolewa
si pepo/maisha ya raha.
Tusibishane sana, huo ndo mtazamo wangu cute b.

Hahahaaa mkuu kazi ngumu zinazeesha.
Mimi nikifel tu nakimbilia kuolewaaa.
 
Last edited by a moderator:
Raha tupu

sasa mbona mara nyingi huwa mnalalamika sana kuwa mko kwn disadvantage? muwe mnjiamini ili tuwasifie siyo kulalamika tu. sisi wanaume tunahangaika kuwahonga, kuwalipia hoteli, kuwanunulia vitz kama nansi, nk alafu kwenye 6×6 nyie mnaenjoy kwa >80%! I wonder if God is a woman kama alivyosema Shaggy kwn wimbo wa STRENGTH OF A WOMAN
 
Mkuu wanaolalamika ni mamluki tuu... hahahaaa mimi sijawahi kulalamika kwenye mahusiano mbali na ku cheatiwa labla....
Raha sana nikishika tuu simu naanza... "baby naomba kiasi fulan " naanzaje kulalamika sasa?
Hahahaaa kazi yangu kupenda tuu
 
Hapo tu ndio mnapotumaliza. ningekuwa nimerekodi gharama zote nilizotumia kwa wanawake hadi sasa kwn ndoa ningefanya maamuzi magumu ya kujikata dushe
 
Unajifariji ila ukweli unaujua, wasichana wangapi wanaobahatika kuolewa siku hizi? Nina mtoto wa kike pia but najitahidi kumlea katika maadili mema na nitajitahidi kumsomesha mpaka atakaposhindwa mwenyewe, kwa baraka za mwenyezi MUNGU, ataolewa hatimaye, refer to isaiah 4:1.
 
Hapo tu ndio mnapotumaliza. ningekuwa nimerekodi gharama zote nilizotumia kwa wanawake hadi sasa kwn ndoa ningefanya maamuzi magumu ya kujikata dushe

Hahahaaa usiikate wew.. unataka sisi tuishije?
 
Back
Top Bottom