Najivunia kuwa brazamen

Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Messages
11,901
Points
2,000
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2009
11,901 2,000
Navaa pamba kali na najua haswa kuvaa vitu vikali.

Napenda usafi wa mwili wangu mpaka mazingira yanayonizunguka.

Nnanukia perfume nzuri Gucci, Creed au Uomo.

Napenda kutumia vitu vyenye quality na standards za juu. Najali sana viwango kwenye kila kitu changu.

Kibongobongo wananiita brazameni na silichukii ilo jina.

Ubrazameni ni damu unazaliwa nao, wengi wanapenda swaga za kibrazameni ila ndio hivyo wanajikuta hawawezi sababu uwezi jifunza kuwa brazameni utachemsha tu.

Wenye hasira na sisi wanaishia kutuita majina mabaya kutuchafulia CVs. Wanatuita wauza sura, wanaume wa dar, wapaka poda na kutuchafua kwa mademu eti hatuna pesa lakini cha ajabu mademu awaambiwi awasikii kwetu wanatukubali ile mbaya.

Siwezi enda kwenda board room kufanya presentation ya mradi wangu uku nanuka kijasho cha saa saba eti ndio uanaume lazima nichukuliwe poa, lazima nijali muonekano wangu uniuze na kuepuka harufu za kibinadamu.

Navinjali sehemu zenye watu classic ata kama inanigharimu lakini napata connection zenye akili. Bia ya Maison ni gharama ila inanilipa kuliko bia ya buku mbili ya La Chaz.

Najivunia kuwa brazameni na kwa mabrazameni wenzangu msijisikie vibaya kuitwa mabrazameni.
Pambafff utaolewa! Huo ubrazamen unakuingizia kipato gani annually?
 
mr gentleman

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Messages
2,807
Points
2,000
mr gentleman

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2012
2,807 2,000
Pambafff utaolewa! Huo ubrazamen unakuingizia kipato gani annually?
Kaka mimi nafanya kazi yenye heshima na nalipwa kwa masaa so usihofu kabisa huu ubrazameni ni aina tu ya maisha niliyochagua. Pole sana kama umekereka kwa kiasi hicho na lifestyle yangu.
 
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Messages
11,901
Points
2,000
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2009
11,901 2,000
Kaka mimi nafanya kazi yenye heshima na nalipwa kwa masaa so usihofu kabisa huu ubrazameni ni aina tu ya maisha niliyochagua. Pole sana kama umekereka kwa kiasi hicho na lifestyle yangu.
Halafu watu wengi mlio na stress za maisha ama akili za kivulana ndio mnaoongoza kwa maisha ya maigizo! Fine unaleta bandiko la ubrazamen humu kufundisha wavulana wengine wawe kama wewe? Ama unaomba ushauri, ama unataka kutuonesha umetusua maisha? Na huo ubrazamen wako umeukatia Bima ili siku ukiisha Bima wakulipe? Pambafff!
 
mr gentleman

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Messages
2,807
Points
2,000
mr gentleman

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2012
2,807 2,000
Halafu watu wengi mlio na stress za maisha ama akili za kivulana ndio mnaoongoza kwa maisha ya maigizo! Fine unaleta bandiko la ubrazamen humu kufundisha wavulana wengine wawe kama wewe? Ama unaomba ushauri, ama unataka kutuonesha umetusua maisha? Na huo ubrazamen wako umeukatia Bima ili siku ukiisha Bima wakulipe? Pambafff!
Povu kama lote mzee baba, hili ni jukwaa huru kila mtu anaposti anachojisikia mimi nimeweka aina ya maisha yangu sikujua kama yangekuharibia siku kiasi iko kama unaona naishi maisha yasiyopendeza basi pole sana maana ndio maisha niliyochagua na yananipa furaha sana sababu kila pahala naona milango inafunguka sababu ya hiii hii lifestyle nayoishi. Mkuu pole sana naona umeumia sana ila ndio hivyo hata vidole havifanani.
 
Muuza simu used

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Messages
2,025
Points
2,000
Muuza simu used

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2017
2,025 2,000
Nachojivunia kwanza Nina jicho la nguo huwa sibaatishi Mzee baba,rangi pia naangalia jinsi ya kumechisha,pia navaa kutokana na sehemu nayoenda na aina ya watu ninaenda kukutana nao, nikivaa suti imoo,nikavaa kanzu ipo,t-shirts na jeans vitu vinakaa!full usafi hadi inzi wananiona kwenye TV,Viatu pea kama zote!siwezi kunuka kijasho mtoto wa town kama Mimi!
 
mr gentleman

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Messages
2,807
Points
2,000
mr gentleman

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2012
2,807 2,000
Nachojivunia kwanza Nina jicho la nguo huwa sibaatishi Mzee baba,rangi pia naangalia jinsi ya kumechisha,pia navaa kutokana na sehemu nayoenda na aina ya watu ninaenda kukutana nao, nikivaa suti imoo,nikavaa kanzu ipo,t-shirts na jeans vitu vinakaa!full usafi hadi inzi wananiona kwenye TV,Viatu pea kama zote!siwezi kunuka kijasho mtoto wa town kama Mimi!
Aminia mkuu!
 
Kendrick

Kendrick

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2019
Messages
345
Points
500
Kendrick

Kendrick

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2019
345 500
daah this comment made my evening
Mabrazamen nyinyi siwakubali wala nini.

Kuna mwenzenu mmoja akawa room mate wangu siku hiyo natoka gym namkuta anajifutia miguu fulana yangu. Namuuliza anajibu mi nilifikiri tambara, nigga fvck u tambara linakaaje kwenye begi? Nigga hii ndo fulana yangu pendwa.

Akanipigia simu, rudi chap umeme umeisha. Nikarud nikaweka umeme, naona mtu katoa chupi anaanza kupiga pasi.

Thats right dunia ilikua mbele this dude tulimwacha nyuma, bado alikua anavaa chupi.
 
Bigbootylover

Bigbootylover

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Messages
2,601
Points
2,000
Bigbootylover

Bigbootylover

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2015
2,601 2,000
Navaa pamba kali na najua haswa kuvaa vitu vikali.

Napenda usafi wa mwili wangu mpaka mazingira yanayonizunguka.

Nnanukia perfume nzuri Gucci, Creed au Uomo.

Napenda kutumia vitu vyenye quality na standards za juu. Najali sana viwango kwenye kila kitu changu.

Kibongobongo wananiita brazameni na silichukii ilo jina.

Ubrazameni ni damu unazaliwa nao, wengi wanapenda swaga za kibrazameni ila ndio hivyo wanajikuta hawawezi sababu uwezi jifunza kuwa brazameni utachemsha tu.

Wenye hasira na sisi wanaishia kutuita majina mabaya kutuchafulia CVs. Wanatuita wauza sura, wanaume wa dar, wapaka poda na kutuchafua kwa mademu eti hatuna pesa lakini cha ajabu mademu awaambiwi awasikii kwetu wanatukubali ile mbaya.

Siwezi enda kwenda board room kufanya presentation ya mradi wangu uku nanuka kijasho cha saa saba eti ndio uanaume lazima nichukuliwe poa, lazima nijali muonekano wangu uniuze na kuepuka harufu za kibinadamu.

Navinjali sehemu zenye watu classic ata kama inanigharimu lakini napata connection zenye akili. Bia ya Maison ni gharama ila inanilipa kuliko bia ya buku mbili ya La Chaz.

Najivunia kuwa brazameni na kwa mabrazameni wenzangu msijisikie vibaya kuitwa mabrazameni.
Ma Gentlemen tuko wachache sana, japo me sio bishoo, ni mgumu lakini napenda vitu classic, City Mall nishatembelea kuna baadhi ya maduka wanauza midosho ya kkoo ila kwa bei kubwa, nishakuwa disappointed sana, japo wapo wanaouza vitu classic hasa viatu, saa kama Hublot.... kununua nguo ya gharama binafsi huwa naona sio shida hasa ukiwa umepanga budget yako vizuri, shida inakuja pale unaponunua shati la 50000 au laki moja halafu linafanana na alilonunua mwenzako mtaa wa Kongo kwa 16000, kama hutojali nijulishe naduka yanayouza nguo classic na unique, me nitatimba
 
ArIeN

ArIeN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2017
Messages
8,089
Points
2,000
ArIeN

ArIeN

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2017
8,089 2,000
Mabrazamen nyinyi siwakubali wala nini.

Kuna mwenzenu mmoja akawa room mate wangu siku hiyo natoka gym namkuta anajifutia miguu fulana yangu. Namuuliza anajibu mi nilifikiri tambara, nigga fvck u tambara linakaaje kwenye begi? Nigga hii ndo fulana yangu pendwa.

Akanipigia simu, rudi chap umeme umeisha. Nikarud nikaweka umeme, naona mtu katoa chupi anaanza kupiga pasi.

Thats right dunia ilikua mbele this dude tulimwacha nyuma, bado alikua anavaa chupi
.
😂 😂 😂 😂
dadeekiiiii
 
Noel Ngiama Makanda

Noel Ngiama Makanda

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2018
Messages
789
Points
1,000
Noel Ngiama Makanda

Noel Ngiama Makanda

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2018
789 1,000
Unazungumzia laki! Si afadhali watunyonge.
Dsm yapo maduka mengi tu ya perfume.. Nenda JD pharmacy mlimani city au citymall mle karibu na DIT kuna duka ghorofa ya pili lina perfume nzuri bei zinaanzia laki kwenda mbele inategemea na budget yako.
 
Noel Ngiama Makanda

Noel Ngiama Makanda

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2018
Messages
789
Points
1,000
Noel Ngiama Makanda

Noel Ngiama Makanda

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2018
789 1,000
Mambo ya kuvaa ni passion na hobby. Kuna watu huwa wanapendeza na nguo very cheap, wakati huo wewe umejipinda na nguo expensive na hazikutoi wala nini .

Mimi kuvaa sio hobby wala passion yangu, sema napenda viatu vizuri na huwa sikosei kwenye hilo.
 
Forum statistics

Threads 1,326,748
Members 509,593
Posts 32,233,563
Top