mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,223
- 4,673
- Thread starter
- #81
Aminia mkuu!Nachojivunia kwanza Nina jicho la nguo huwa sibaatishi Mzee baba,rangi pia naangalia jinsi ya kumechisha,pia navaa kutokana na sehemu nayoenda na aina ya watu ninaenda kukutana nao, nikivaa suti imoo,nikavaa kanzu ipo,t-shirts na jeans vitu vinakaa!full usafi hadi inzi wananiona kwenye TV,Viatu pea kama zote!siwezi kunuka kijasho mtoto wa town kama Mimi!