Sijakuelewaelewa unataka kuanza kuchukua watoto wadogo ama?
ha ha haa
ha ha kwiiiii
hauogopi bladi presha na kisukari vyote kwa pamoja
Wapi Husninyo mutoto ya Dodoma njoo huku babu yako matatizo yamenizonga.
Arusha one naomba unipe semina elekezi jinsi ya kuwakwapua hawa viumbe.
Wapi Husninyo mutoto ya Dodoma njoo huku babu yako matatizo yamenizonga.
Arusha one naomba unipe semina elekezi jinsi ya kuwakwapua hawa viumbe.
wa dodoma wote saaa hii wako chini ya himaya ya Mwita Maranya
muda huu wapo kwenye ligwaride kama la yule mkuu wa nchi moja hapo mpakani mwetu.
hukwenda idodomya kum join mzee?