Najivua Gamba!!

Usiogope, huyo jamaa ana stress sana siku hizi.... ni joto la hasira....!!


Bora angetishia kuua, ila anatishia kung'oa kikojoleo.


"Maisha bila ya kikojoleo si Maisha"
 
ha ha haaa
kuna njembe fulani aliwahi kuamua kukikata mwenyewe kwa kutumia wembe
sikufuatilia kama aliishia wapi.
Bora angetishia kuua, ila anatishia kung'oa kikojoleo.


"Maisha bila ya kikojoleo si Maisha"
 
Anibusu ni mbusu,
Nimshike anishike,
Nimkimbatie anikumbatie,
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1371792616095.jpg
    44.7 KB · Views: 23
Usiogope, huyo jamaa ana stress sana siku hizi.... ni joto la hasira....!!

Eti inasemekana kuwa imepata stress baada ya Madame B kumuambia kikojoleo chake kinamfaa mtoto wa primary. Ila si kwa machine kubwa.
 
Last edited by a moderator:

Mamdenyi nakuomba nikupende ili nisilie lie tena.
Bishanga akileta pesa mwambie upo likizo.
 
Last edited by a moderator:
Sio mteremko ila ni mkarimu sana, anasema alichopewa bure na Mungu hamnyimi mtu. pale ndo pakupatia uzoefu..

Bishanga hajawekeza pale kweli.

Hongera madame kwa ukarimu wako wa kuwasaidia wanyonge. Naomba msaada tafadhali.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…