Mkaribishe mgeni vizuri bana...
haaaa,
umetokea wapi mwenyekiti
hivi na wewe umekuwa mkaguzi humu eti eeh.
Mgeni au mwenyeji tu huyu
mbona kaja na mbwembwe eti anataka wa kwake wa kwake tu
hizo falsafa za wapi.
Kama vipi unga tela kwa Madame B uwe mume wa kumi na moja wakati unapata ekspiriens ya kumiliki wako binafsi..
Ukiona hivyo ujue hataki stress ati...!!!
unalo
kwanini una kuja kwa speed lakini.
kuna mahali niliona kama Madame B anasema kachoka na hayo makitu
anataka MziziMkavu ampe dawa za kupaziba kabisa.
Mamdenyi .Unafikiri kung'olewa kininiu ni kazi ndogo.
Copy:komandoo kiplagati26