Najiuliza tu Samia utamjibu na Gwajima?

Najiuliza tu Samia utamjibu na Gwajima?

Unaweza ukanitajia mambo matatu ambayo ameyafanya mkuu
Bila hata kufkiria
1. Kurejesha uhuru vya habari anapower ya kupiga pin usiskie ata hizo reform zako
2. Kuboresha pesa za kujikimu vyuoni hiyo Sector ya Elimu haina chakulalamikia
3. Kufunguwa njia ya Treni ya Umeme(Sector ya usafirishaji nayo sijui italalamika nini)
4. Kasuport michezo leo unaona Mpka hatua ya mwisho ya mashindano ya CAF timu kutoka TZ ipo mchango wa Rais ni mkubwa
5. Kafunguwa fursa za uwekezaji na makampuni mengi ya kigeni yamevutiwa na harakati zake
6. Kapambania Sector ya utalii na movie yake leo Tz inajulikana Dunia Kitalii na mikoa yenye kampuni za kitalii kama Arusha, Kilimanjaro na n.k watu wanakuwa MA billionaire kwenye sector hiyo
7. Kajitoa kuamini na kufunguwa milango ya fintec leo tuko na Payment Gateway kibao huko nyuma hata AzamPay tu ilipata shida
8. Kafunguwa Milango ya pesa sasa hivi nani anaelalamika Vyuma vimekaza ? yote hatuoni unaona No reform tu
Kuna vitu kibao yani vingi ila hawezi fanya vyote na ukumbuke anawatendaji pia nao hawawezi kuwa wakimilifu vile vile
 
Back
Top Bottom