Najiuliza sipati jibu, naombeen msaada great thinkers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Najiuliza sipati jibu, naombeen msaada great thinkers

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MKATA KIU, Sep 5, 2012.

 1. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu brothers and sisters,

  Ndugu yenu nasumbuliwa sana na hili swali, natafuta jibu halipatikani, naamin hapa kwa great thinkers nitapata jibu

  "Mwaka 2011 wanafunzi zaidi ya 5000 waliohitim darasa la 7 walifaulu wakiwa hawajui kusoma wala kuandika, je kama hao walifaulu bila kujua kusoma wala kuandika, unafikiri waliofeli walikuwa hawajui kufanya nini?
   
 2. W

  Wajad JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,130
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Subiri walimu waje kukujibu!
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  walikuwa hawajui kuchora!
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Hawajui kuona wala kushika peni
   
 5. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,342
  Likes Received: 2,675
  Trophy Points: 280
  hao waliofeli walikuwa hawaendi shule kabisaaa!
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,045
  Likes Received: 24,035
  Trophy Points: 280
  Shule za siku hizi, raha sana!

  [​IMG]
   
 7. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Walikuwa wamekosea stepu ya kupiga chabo.
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Wangu umesha wai kukutana na wanafunzi wa namna hiyo?

   
 9. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  We acha tu!
  Wapo bwerere.
  Ila mzazi anakukatia mshiko wa mana nami natambaa.
   
Loading...