griffin griffith
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 549
- 442
HahahahaMzee wa kukurupuka, yaani hata huwezi kusoma uzi kwa undani na kutafakari hadi unamtukana kamanda mwenzio. rudia tena kuusoma huo uzi kwa makini halafu umuombe radhi "kamanda mwenzio"
Kiongozi umemsoma jamaa ukamuelewa?Au ndo mkurupuko style.Asante sana mkuu kwa kumpatia maneno atakayo enda nayo huko kwa walamba miguu
Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo the so called MAKAMANDA WA CHADEMA wanavyokosa mueleko na ideas za kupambana na CCM ya MAGUGULI....ALLEN umechanganyikiwa kwani maandiko yako yanawachanganya hata MAKAMANDA WENZAKO... Yule KIMEO Aliyewaonjesha TABIA ya Kubadilishia GEAR ANGANI amewaingiza choo cha kiume chenye MABAKULI wakati nyinyi hamna FIMBO..... Kwa kifupi UMEANDIKA PUMBA.... haujawahi KUIKOSOA CHADEMA na wala hauna KICHWA na UWEZO wa KUIKOSOA CCM.... wewe ni CHAGADEMA uliyechanganikiwa...CHA ARUSHA NI HATARI...Najitoa Rasmi kwenye kuikosoa CHADEMA hadharani badala yake nitatumia mifumo ya chama kufikisha ujumbe wangu. Sitaki kuwa kama Rafiki yangu Benson Mramba wa Tanga ambaye ameamua kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kukosoa chama.
Lakini kuanzia leo najiunga Rasmi kwenye kundi la wakosoaji na wapingaji wa sera za CCM na matendo ya chama hicho ambacho ndiyo sababu na chanzo cha kuifanya nchi yetu iwe hivi ilivyo.
Jenga hoja achana na "character assassination"Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo the so called MAKAMANDA WA CHADEMA wanavyokosa mueleko na ideas za kupambana na CCM ya MAGUGULI....ALLEN umechanganyikiwa kwani maandiko yako yanawachanganya hata MAKAMANDA WENZAKO... Yule KIMEO Aliyewaonjesha TABIA ya Kubadilishia GEAR ANGANI amewaingiza choo cha kiume chenye MABAKULI wakati nyinyi hamna FIMBO..... Kwa kifupi UMEANDIKA PUMBA.... haujawahi KUIKOSOA CHADEMA na wala hauna KICHWA na UWEZO wa KUIKOSOA CCM.... wewe ni CHAGADEMA uliyechanganikiwa...CHA ARUSHA NI HATARI...
Najitoa Rasmi kwenye kuikosoa CHADEMA hadharani badala yake nitatumia mifumo ya chama kufikisha ujumbe wangu. Sitaki kuwa kama Rafiki yangu Benson Mramba wa Tanga ambaye ameamua kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kukosoa chama.
Lakini kuanzia leo najiunga Rasmi kwenye kundi la wakosoaji na wapingaji wa sera za CCM na matendo ya chama hicho ambacho ndiyo sababu na chanzo cha kuifanya nchi yetu iwe hivi ilivyo.
Basi utakuwa taahira kwa maamuzi haya.unajifanya ulikuwa unaikosoa chadema wakati ulikuwa namba moja kuitetea wakati wote 24/7. Unadhani hatukujui au. Labda tuambie kwa sasa unapinga matendo ya ccm na serikali yake kwa lipi. Jaribu kufafanua kamanda manake naona kama umerogwa. Cheki akili yako kama ipo sawasawa.pole sana kamanda. Huko ulipo tumekaa sana mpaka tumefilisikia huko. Tumeambulia kuletewa mafisadi tu wale ambao tulikuwa tukiwapinga miaka yote kwa kushirikiana na viongozi haohao ambao waliamua kulamba dume na kuwasafisha watu wasiosafishika. Ni hatari kwa nchi. nakuona unaishi kwa kazi hii mitandaoni tuu huna cha kutuambiaNajitoa Rasmi kwenye kuikosoa CHADEMA hadharani badala yake nitatumia mifumo ya chama kufikisha ujumbe wangu. Sitaki kuwa kama Rafiki yangu Benson Mramba wa Tanga ambaye ameamua kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kukosoa chama.
Lakini kuanzia leo najiunga Rasmi kwenye kundi la wakosoaji na wapingaji wa sera za CCM na matendo ya chama hicho ambacho ndiyo sababu na chanzo cha kuifanya nchi yetu iwe hivi ilivyo.
Mwandishi wa thread alikuwa under influence of substance....Nimesoma michango ya watu wengi kwenye thread hii nikagundua kuwa sisi vijana wa Kitanzania hatuwezi kusoma habari kwa umakini tukaielewa bali, tunakurupuka tu. Na hali imewakumba hata viongozi wengi wenye nyadhifa kubwa. Jamaa kwenye heading yake anasema anajitoa Chadema anajiunga ccm lakini content inaonyesha amejitoa ccm na kujiunga chadema
Nimesha soma tayariAcha wenge soma uzi tena
Ulikuwa mzigo tu una hata hoja kwenda zako tena ulikuwa pandikizi la mtandaoni pyuuuu tema mate
Swissme
Nimesoma vizuri sana naiunga mkono sirikali yetu kwa hiyo systemKiongozi umemsoma jamaa ukamuelewa?Au ndo mkurupuko style.
Vichwa vya tereni siyo vyenu?Welcome to the world
Maguguli huyo ndiyo nani tena?Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo the so called MAKAMANDA WA CHADEMA wanavyokosa mueleko na ideas za kupambana na CCM ya MAGUGULI....ALLEN umechanganyikiwa kwani maandiko yako yanawachanganya hata MAKAMANDA WENZAKO... Yule KIMEO Aliyewaonjesha TABIA ya Kubadilishia GEAR ANGANI amewaingiza choo cha kiume chenye MABAKULI wakati nyinyi hamna FIMBO..... Kwa kifupi UMEANDIKA PUMBA.... haujawahi KUIKOSOA CHADEMA na wala hauna KICHWA na UWEZO wa KUIKOSOA CCM.... wewe ni CHAGADEMA uliyechanganikiwa...CHA ARUSHA NI HATARI...
Siku nyingine uwe unasoma kabla ya kujibuNimesha soma tayari
Vichwa vya tereni siyo vyetuBasi utakuwa taahira kwa maamuzi haya.unajifanya ulikuwa unaikosoa chadema wakati ulikuwa namba moja kuitetea wakati wote 24/7. Unadhani hatukujui au. Labda tuambie kwa sasa unapinga matendo ya ccm na serikali yake kwa lipi. Jaribu kufafanua kamanda manake naona kama umerogwa. Cheki akili yako kama ipo sawasawa.pole sana kamanda. Huko ulipo tumekaa sana mpaka tumefilisikia huko. Tumeambulia kuletewa mafisadi tu wale ambao tulikuwa tukiwapinga miaka yote kwa kushirikiana na viongozi haohao ambao waliamua kulamba dume na kuwasafisha watu wasiosafishika. Ni hatari kwa nchi. nakuona unaishi kwa kazi hii mitandaoni tuu huna cha kutuambia