Mh
hilo jina lako linaonesha kwamba SISI tutajifunza mengi sana kutoka kwako.
by the way kama weye ni MKIKE nakukaribisha SANA SANA jukwaani
kama ni MKIUME nakukaribisha BASI jukwaani
Mh
hilo jina lako linaonesha kwamba SISI tutajifunza mengi sana kutoka kwako.
by the way kama weye ni MKIKE nakukaribisha SANA SANA jukwaani
kama ni MKIUME nakukaribisha BASI jukwaani
mkuu naamini huyu nyegelesha ataleta mtafaruku mkubwa humu jukwaani.
Sijui mchungaji Masa, Askofu, ASPIRIN na ISC team tutatafutanaje maana mgeni kaingia kwa hamu ya kutamanisha vile. Jina na Avatar ni signal tosha kwa kuanzisha ugomvi humu lol