Najiskia vibaya Watanzania tukidhauriliwa/kusemwa vibaya

Na ndio sababu hapo juu nikasema sifa yetu kuu watanzania ni UNAFIKI sababu ya wanasiasa
Unafki , kufatiliana , kufurahia wenzako anapoanguka kwenye jambo fulani hizi tabia tumeambukizana kwa kiasi kikubwa ,mpka ukiwa tofauti ,bize na mambo yako unaonekana una madharau na maringo.
 
Kwaiyo uliumia sana kukandiwa na huyo Mkenya na Ukaumia sana Roho sio?
 
Usikonde kabisa.

Your mental health is worth much more than taking abuse from rude Kenyans.

Akizoea niite huko nije kumfundisha adabu. Mara nyingine huwa napenda ugomvi kuliko kula
.

Sitaki hata kuonana nao tena.
 
Ungemwambia neno moja tu HAMA hao wakenya wana inferiority complex juu yetu maana wanajua kabisa competitor wao ukanda huu ni Tanzania ni kama mapacha au ndugu wanaofatana...
 
Na ukashindwa kutaja mabaya Yao ?
 
Ungemwambia neno moja tu HAMA hao wakenya wana inferiority complex juu yetu maana wanajua kabisa competitor wao ukanda huu ni Tanzania ni kama mapacha au ndugu wanaofatana...
Mwishoni niliwaambia sitaki muongelee nchi yangu tena.
 
wew jamaa mbeya Gani ambayo ni chafu umekaa mbeya ipiii hiyo mbeya ya Mbalizi,mama john, Meta, Sangu,Nane mwanjelewa ,sokomatola ,Mbeya sio chafu mzee mim sio mwenyeji wa Mbeya nimeishi kule takribani miaka sita Kwa Mbeya nakupinga apo umepuyanga

Soweto sijui Mama John huko nyuma kunakounga Sae na Block T, Mabatini, Simike, Kabwe, Uyole, Ilomba hadi unapandisha kule juu maeneo mapya, huko Mbalizi ulipopataja sio Mbeya hiyo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…