mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 41,878
- 50,469
Habari wakuu.
Kiukweli nimejisikia fahari sana nilipopitia naira land forum.na kumuona mdau ameanzisha Uzi kuhusu Tanzania.kiukweli ameipamba nchi yetu kwa wema namshukuru sana.tuipende na tuitangaze nchi yetu Tanzania.