Najishangaa sana

Najishangaa sana

CRISTA

Member
Joined
Aug 5, 2012
Posts
82
Reaction score
36
Wakuu, sometimes nahisi najikosea

Haiwezekani kipindi sina pesa nawaza Mambo ya kuanzisha miradi mbalimbali na kujiwekea mikakati ya kutosha.
Sasa kizungumkuti nizipate napeleka chap kumalizia Nyumba yangu,mfano juzi kati nilibamba mil 3.5 ,chap nikaweka tiles kwenye Nyumba yangu,wakati nilipanga Toka siku nyingi nianzishe mradi wa kuku.

Sasa hivi nimechacha haswaa naanza kufikiria kufikiria kama ningekuwa na miradi nisigechaha namna hii.

Dah,
 
Bora hata umepeleka kwenye nyumba kuliko ungeenda kuhonga. Au kula beer nyingi au vyote kwa pamoja
 
Inawezekana
Ni balaa mkuu,
wakat ukinywa pekeako 40%%% alcohol ukijitahid Sana 750mls wewe Ni kidume

Ukinywa 40%%% alcohol sana Sana 350mls ndani ya masaa mawili lazima uwe very gentleman

Na hapo ukichua expensive drinkin haitofika hata 50k hio nime exaggerating
 
Ufugaji is not for every one mkuu....
Pengine ungeanzisha mradi wa ufugaji lolote lingetokea na mwisho wa siku ungerudi kuanzisha uzi wa majuto kwamba ungelijua ungeweka malumalu kuliko kufuga...😜
Kwanza.....
Mungu hawezi akakupa mafanikio kwa njia ama namna ambayo anaona unaweza kuipita/kuimudu kirahisi, maana akifanya hivyo basi hautokaa ukumbuke historia mkuu..😊
 
Wakuu, sometimes nahisi najikosea

Haiwezekani kipindi sina pesa nawaza Mambo ya kuanzisha miradi mbalimbali na kujiwekea mikakati ya kutosha.
Sasa kizungumkuti nizipate napeleka chap kumalizia Nyumba yangu,mfano juzi kati nilibamba mil 3.5 ,chap nikaweka tiles kwenye Nyumba yangu,wakati nilipanga Toka siku nyingi nianzishe mradi wa kuku.

Sasa hivi nimechacha haswaa naanza kufikiria kufikiria kama ningekuwa na miradi nisigechaha namna hii.

Dah,
Tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa Wahindi.

Hatukukuzwa hivyo ndio maana startup inakuwa mtihani sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom