Najilipuaaaaaaaaaaa!!!

Kujilipua now days noumah mazee ..............utadanja chap chap
 
Hahaha au kama vipi unameza pipe ya gesi ya Mtwara halafu unaweka utambi masikioni...

hahahahahahaaha hiyo kali, ukifanya hivyo hata Israel ataenda kukodisha mwenyewe maturubai ya msiba manake hatakuwa na kazi ya kufanya tena
 
Wangu nitamleta white party nimemtengenezea dawa ya kuganda ole wenu mkijitusu ukaganda mimi nitakuwa nakucheka kwani nitakuwa nakula kilaji changu nakuangalia unavyoteseka!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…