Najikuta naanza KUIKUBALI CHADEMA..!

Najikuta naanza KUIKUBALI CHADEMA..!

Kama Leo wanaume wanaadabishana kikamilifu hata kabla ya kushika dola Basi ni dalili njema Kwamba wababe Hawa wakishika Dola wembe utakuwa ule-ule. Elimu ya Tanzania haita letewa mcheZo Na watu wachache wasiokemewa, maliasili ya Taifa haita Kuwa Na watu wanaorushiana mpira Na hakuna wa kuwawajibisha, polisi hawata jichukulia sheria wazijuaZo kuwanyanyasa wananchi Na hakuna wa kuwasema .. Mie nawaza hivyo labda watu wa historia mnaweza kunipa changamoto nisiyoijua..!

Eng.Bihagaze,

Hii aya ya mwisho imenifurahisha sana sana. Huu ni ukweli unaojidhihirisha ndani ya CDM. Na ndiyo maana CCM wanaweweseka wanapoona vitu vya uhakika vya CDM!!!Believe me, vurugu zote hizi za Bwana ZZK a.k.a Mzito Kabwela ni mikakati maalumu inayo ratibiwa na kutekelezwa na CCM wakishirikiana na Wahuni wachache ndani ya CDM kama huyu ZZK.

Hata hii hukumu ya zuio la CDM kujadili uanachama wa ZZK ni mikakati ileile ya kuitokomeza CDM. Maana kwa akili ya kawaida tu ZZK kama mtuhumiwa ndani ya Chama hawezi kuidharau CC halafu atategemee maamuzi tofauti toka Baraza Kuu la chama! Hili ni jambo lililo wazi kabisa na Jaji wa Mahakama Kuu analijua hilo. Huwezi kukishtaki chama Mahakamani halafu utegemee kupata utetezi wa rifaa yako ndani ya Chama kilekile unachokituhumu. Itakuwa ni wendawazimu wa kisheria na kikatiba.

Lakini kwa vile tunajua ufunguaji wa kesi, maamuzi na hukumu yote yanafanywa na Serikali ya CCM ikishirikiana na Zitto Kabwe ili kuimaliza CDM b4 2015 GE!Hivi vitu ni planned na vilishatamkwa na Vigogo wa CCM kama Wassira na Nchemba kuwa CHADEMA itakufa kabla ya Uchaguzi Mkuu 2015 au baada ya Uchaguzi. UKisoma between the lines unaona kabisa kuwa hapa kuna ajenda kuu ya siri kati ya ZZK,CCM na Mahakama ili kutimiza malengo yao.

Hata hivo inavoonekana mbinu,njama,hujuma na mikakati ya kuimaliza CDM zimekuwa zikigonga mwamba kila mara kutokana na chama kuwa na Intelijensia imara pamoja na Viongozi makini na mahiri.
 
Lakini hata kabla ya issue ya Zitto wewe nakusomaga ukiwa na mtizamo tofauti na Chadema na mpinzani mkuu wa Chadema ni CCM samahani kama hauko CCM ila twambie wewe lipi zuri unalipenda Chadema tukuamini kama siyo mpizani wa Chadema basi

Mkuu ni lazma ukubali kuwa si kila anyetoa mawazo yasiyoifurahisha chadema ni CCm.
Hapo ndipo wengi wanapopotoka.
Imekuwa kawaida sasa kila anayechalenji uongozi wa chadema anaonekana katumwa na CCm.
 
Nimekuelewa sana kwamba katika siku zooote leo ndo umeona uwakubali hawa jamaa. Baada ya mahakama kuwasaidia kusuluhisha migogoro ya ndani ndipo ukawakubali!.

Na pia baada ya kuthibitisha kiwango chao cha violence kufikia hatua ya polisi kusaidia kutuliza vurugu miongoni mwao pale nje ya HC ndio chanzo kikuu cha wewe kuwakubali sasa!

Na mimi leo nimekubali kwamba binadamu tuna mitazamo tofauti.

hakuna jambo baya na linalouma sana kama kumuona kijana msomi mtanzania,anayeamua kutetea uovu wenye kuaribu utu na maadili ya jamii,kwa upenzi wa chama kilichopo madarakani.
 
Mtu anavuliwa Vyeo kwa Makosa 11 ambayo kayafanya siku 11 mfululizo au ndani ya masaa 24???
Kama makosa yote ni ya kweli na hayakufanywa siku moja huoni kwamba mfuo mzima ndani ya CDM umeshindwa kufanya kazi??
Unafanya kosa la kwanza mpaka la kumi wanakutazama tu then unafanya la 11 Chama chote ikiwa ni pamoja na Mwenyekiti na Katibu Mwanasheria mkuu na Vingunge wengie wanakujia juu kaa Moshi wa kifuu!!!!!!!
Mnaorodhesha kosa la kwanza mpaka la 11 na kuuliza kwa nini tusikufukuze uanachama. Sijui ndo katiba nasema hivyo??
Unajua sisis wengine tunajuazaidi coefficient of expansion of copper kuliko kifungu rahisi ndani ya katiba ya CDM.
Ni kama vile mtu kawashitua walikuwa wamelalala?? Au WameFABRICATE???
Watu makini nadhani huwa hawakurupuki.. Lazima kujichunguza within Na kukusanya evidance Za Kutosha.. Makosa Kwa wanadamu yapo, si Kwamba mtu katenda kosa moja Leo Na kesho afukuzwe .. No... Nadhani ni Kuangalia kosa Kwa umbali wake Na Muda..sidhani Kama una Hoja Kwa hili labda uniconvice otherwise..
 
Kuna ugumu sana kuiua Chadema, na mara nyingi wamefanya Attempt hiyo kupitia Zitto lakini wameshindwa, unakumbuka kile kipindi Zitto anaungana vizuri na viongozi wenzake kwenye Operation Sangara? Kutokana na kazi nzuri aliyokuwa akiifanya Zitto wakaamua kui-Invest pesa nyingi sana kwake ili aamue kuacha na Siasa ndipo tukaanza kumsikia Zitto akitamka hadharani kwamba anataka kuachana na Siasa anataka abadirishe fani,

Baadaye walipofanya Calculation zao wakaona kabisa Zitto hata akiondoka CHADEMA itaendelea kuwa Chama Kikubwa tu hapa nchini kwani kina majembe mengi tu wakiwemo Akina Lisu, Mnyika, Lema na maelfu ya vijana wenye uwezo mkubwa kuliko Zitto wanakipenda chama, ndipo wakaamua wabadirishe matumizi ya Zitto kama kitendea kazi cha CCM badara ya kumtumia kukidhoofisha chama kwa kuondoka wakaona aendelee na kazi yake hiyo akiwa ndani ya chama, Hivi Zitto amewahi kutamka hadharani ni kwanini aliahirisha adhma yake ya kuachana na siasa?

Kama alivyo engineer Nawe pia ni Great Thinker of Today......
 
Unaongea Kwa ufinyu tu wa mtazamo.. Sidhani kama nimemwongelea Zitto, naongelea utayari Wa Chama kumchukulia hatua Za kinidhamu mtu wa Kada yoyote, Na usijifinyange kimawazo ha hili linaloendelea mahakamani lakini jenga fikra Kwenye wigo Mpana kidogo ukianzia Kwa kuwavua uanachama madiwani, viongozi wa Bavicha Na Sasa wako wanawajibishana makao makuu..

Na kumbuka sijasema kuna mtu kafukuzwa wala sijashabikia equation Y kutumuliwa Na Subjex X kenye set U, naongelea nia madhubuti ya uwajibikaji ya kuchukua maamuzi .. Nadhani mtu yeyote sidhani Kama atahitaji microphone kuambiwa Na kuuona ukweli tu..

Embu tujenge utamaduni wa kukubali kile kizuri anachokifanya mwenzako hata Kama si mwanachama wa Chama husika.

Umemjibu kisomi huyu, ingekuwa sisi wengine ningemuendea hewani kwa matusi mabaya sana ya nguoni
 
Sina shaka kabisa na msimamo wala maamuzi ya cdm juu ya Zitto na ninaunga mkono hilo kwa 100% kumuondoa ndani ya CDM. Shaka niliyonayo ni moja tu, kwamba taratibu na katiba ya kumchukulia hatua zzk huenda zilikuwapo na ndio zinazotugharimu CDM leo na katika kesi hii, lakini pia nna imani hatimae tutashinda. Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu....

Toka awali nimekuwa na imani kubwa sana kwa mwenyekiti na katibu wake, na tukio hili linaidhihirisha imani yangu kwao zaidi kwani yale niloyajengea imani sqasa yanathibitika, vivyo hivyo toka awali nilikua na shak sana juu ya mwenendo thabiti wa zzk na leo hili pia linathibitsha kwangu kuwa zzk si mkweli na hapaswi kuungwa mkono asilani.

Mh. Mbowe, ni mtu ambaye kweli amejitoa kihali na mali kumpigania Mtz ambapo inasikitisha kuwa leo wapo ndani yetu wanaombeza..... of course ni kwawaida kwani mara zote unapoishi duniani lazima wawepo wanaokupenda na wanaokuchukia kinyume cha hapo basi lazima una tatizo. Big up Mh. Mbowe, Big up Mh. Slaa, Big up CC CDM na wengine wote wenye mapenzi mema na wanaotaka ukombozi wa kweli CDM

Kwa tahmini yangu ya haraka haraka juu ya utendaji wa viongozi wangu, ni Mkiti na Katibu amabo utendaji wao unazidi wenyeviti na makatibu wote east and central Africa. Chini yao chadema imepata mafanikio makubwa na kuongeza mizizi yake mpaka kwenye grass root level. Hili linajidhihirisha katika namna mbalimbali, 1. idadi ya wabunge toka 5 - zaidi ya 45 hivi sasa, kuongezeka kwa utawala wa CDM mpaka kiwango cha vitongoji, mabadiliko ya haraka na kazi kama vile CDM kuongoza halmashauri ndogo Arumeru muda mfupi tu toka uchaguzi mkuu lakini pia kwa mtidno uleule kuchukua Jimbo la Arumeru magharibi kwa kishindo kikubwa na kutoa upinzani mkali igunga pamoja na hujuma kubwa zilizofanyika huko, lakini moja kati ya mafanikio ya uongozi huu ni hamasa/ari kubwa nadani ya wananchi hivi sasa Tanzania ya kujua na kudai haki zao, jambo ambalo Mkiti wakati wote amekuwa akiliosema kama moja ya vitu ambavyo anavisimamia kuvijenga, ili hata kama CDM itachukua madaraka isiswaburuze wananchi bali iwajibike kwao. Yapo mengi ya kurejea kama mafanikio ya uongozi huu, wana JF wema hebu sasa tupate muda wa kuyaorodhesha yote ili malumbano haya yasiendelee kwa watu kuzomeana tu ila pia yatoe somo na watu wauone ukweli, nina imani kuwa ukweli huongea vizuri zaidi kuliko matusi au kuzomeana?????, nilichogundua hapa ni kwamba watu hawasomi hata magazeti kujua dhana fulani fulani, ni muhimu sana sasa tuusome waraka ule wa akina zitto wa kutaka mabadiliko ya uongozi na kuu critic kwa hoja bila hivyo tutapoteza muda na kutoka bila elimu wala kupanuana mawazo.

Kuhusu ZZK kwa kweli nimekuwa mfuasi wake bali wa mashaka (Urafiki wa mashaka) nimempenda kwa hoja zake mbali mbali japo mara zote nimekuwa nikikatishwa tamaa na namna ambavyo amekuwa akikosa udhati wa kuonyesha nia halisi ya kushughulikia yale anayodai kuyasimamia, nilimpenda sana kipindi alipotolewa nje ya bunge na kufanya Operesheni sangara, labdas hili ndilo pekee lililonikosha zaidi juu yake. Vinginevyo anaonekana zaidi katika mazingira yenye mashaka mashaka na kwa haraka haraka namuona Zitto Akiwasiliana sana na Mkurugenzi TISS 2010 katika kipindi kigumu CDM ikichakachuliwa juu ya matokeo ya urais/ubunge wakati ambapo Dr Slaa akilalamikia matokeo ya urais; Namuona zzk akitweet haraka sana kwa urahisi wakati wa matokeo kule Igunga akikiri CDM kushindwa eti kwa sababu chama hakijajengeka vijijini (Hata kwa matokeo yale yaliyochakachuliwa usemi wa zzk hauna ukweli na hasa ukizingatia ndio kwa mara ya kwanza CDM ilisimamisha mgombea), namuona zzk akifanya bidii kuahakikisha Pinda, Dewji, Mkono n.k akipambana kukihujumu CDM na wagombea wake ili CCM na maswahiba wake wapite bila kupingwa, namuona zzk akigoma kutoka nje ya Bunge rais alipokwenda kulihutubia eti kwa vile amemjengea barabara nk (Hapa uanaona ubinafsi wa dhahiri wa mbunge ambae leo nataka zugukia sehemu zote tanzania ati Mzalendo), namuona zzk ikulu akigonga glasi na rais kumpongeza kwa baraza jipya la mawaziri wakati M/kiti wake yupo Arusha akilaani kitendo cha katiba kuvunjwa kwa kuchguliwa baadhi ya mawaziri, Mh Mwinyi kushika wizara ambazo si za muungano, namuona zzk akiwa mabli na viongozi wenake nyakati zote - Akijitenga, Namuona zzk akiwa mbele kwenye ajenda ya kutaka uongozi wa juu kwa udi na uvumba bila staha- Urais, uenyekiti, uongozi wa upinzani bungeni (taamaa ya madaraka; namuona zzk akienda Anticlockwise wakati wenzake wakienda clockwise nk. Nabaki mwenye mashaka makubwa juu ya uzalendo na ukweli wake na sasa namuona ni msalitit anaepaswa kufukuzwa chama tu.

Ukweli hapa kulingana na mtazamo wangu ni kuwa zzk kwa kutofautina na uongozi wote amepoteza sifa na hawezi kubaki cdm, this does not need rocket sayansi kulitambua, ni wazi kuwa atatapata wana cdm wanaomuunga mkono lakini wale ambao hwapo uongozini kumbe itakuwa ngumu kwake kuongoza cdm, haiwezekani wewe peke zako ukaongoza chama katika mazingira ambayo cdm imefikia, hilo linawezekana UDP, TLP, UDP etc etc.

Ukweli ni kwamba M/kiti na katibu CDM wamekuwa mwiba kwa CCM kwani wamevaaa sura ya serikali mbadala inyojihidhirisha ndani ya uongozi thabiti wa kutohongeka na kujitolea kwa hali na mali, lakini pia muamko na ari kubwa ya watanzania juu ya CDM uliotokana na uongozi wao. Wote tutakiri jinsi ambavyo watanzania wamekuwa mbele kuichangia cdm hata kwa mpesa mpaka hujuma ya kukata kodi ya mabilioni toka CDM m-pesa ilipotungwa. Mh. Mbowe hakuzivaa combat kwa bahati mbaya au kifasheni zaidi kama ambavyo inaonekana sasa bali vazi lile liliendana fika na mwandani wake, ukweli, nia, thirika na utendaji wake. Niliwahi safiri na dada mmoja ambae aliwahi fanya kazi na mbowe, akanithibitishia hilo, kwamba Mbowe ni mtu ambae akishaamua kufanya kitu akaanza basi ni mpaka akimalize/akikamilishe, akanimabia kwamba wakati akijenga Bilicanas alikesha usiku na mchana site aliondoka asubuhi tu tena kwa muda mfupi kwenda kwa Bfast kubadili nguo na kurudi site kwa mkesha mwingiine, alipokuta mkewe anadunduliza ili ajenge nyumba yao kisiri, aliingilia kati plan hiyo kuanza na kujenga nyumba nadni ya mwezi mmoja nk, hii ilinikumbusha muda wote hata kabla chadema haijafika hapa Mbowe akizunguka kwa kampeni zake za urais akitumia Helikopta kuhutubia vijijini pamoja na kukijenga chama akiibua hamasa ya mabadiliko.
Hakika sura yake na Dr. Slaa katika siasa za tz inatisha ccm ndio maana wanatafuta mamluki ili kile kilichotokea NCCR kijirudie....Tulianza na mungu tutamaliza na mungu.

Wana JF, mkakati wa zzk, kitila na Mwigamba haupaswi kuungwa mkono kwa namna yeyote sio tu na CDM au wanachama wake bali wanamageuzi wote Tz. Ni kweli katka chama au jamii kwa ujumla hakukosekani makundi lakini makundi hayo yasiwe ya mafungate au kimtandao bali ya hoja na yenye afya kwa chama kwa maana watu watafungama na hoja sio mtu fulani. Hili ndilo linalowasumbua ccm hata leo, ndio maana wanashindwa kuwajibishana, kujivua magamba nk. Raisi Kikwete alipokutana na makatibu wa Wilaya/Mikoa dodoma aliongea kama analia tu hana meno kwa ajili ya mtandao ndani ya ccm akaishia kuwalalamimikia kwamba mtindo wao wa kuchukua posho za simu kila mwezi wa laki mbili kila mwezi utakiua chama, haya ndio matokeo ya Mitandao. Katika mtindo wa mitandao watu hawatahoji CDM imesema nini bali nani kasema ndani ya cdm, kiwe cha ujinga au busara ili mradi kasema zzk sawaaaaa!!!! akasema mbowe holaaaaaaa!!!!!!!! Slaa mjinga!!!!!!!!!!!!!, tusifike hukoooo hakuna maslahi ya taifa hili.

Mh. Mbowe & Slaa, zzk na waheshimiwa wote wenye nia nzuri, ukiona unapingana na wengi ndani ya CDM its time to quit, ndio taratibu za siasa!!!! Mwl. Nyerere aliwahi kumshangaa Mh. Kawawa kwamba anadai hwezi toka ccm!!! yeye akaweka bayana kabisa kuwa ccm sio babake wala mama kwamba huwezi mbadili na kwamba kwamba ccm haitatekeleza kile anachoamini ataondoka....!!! Lyatonga Mrema laifanya hivyo mara kadhaa na wakati wote wafuasi wake walimfuata. Mh zzk ni wazi kwangu wewe unapingana na wenzako na kwa hali hii nakushauri utoke na wafuasi wako watakufuata tuu...... Vinginevyo hisia za watu kwamba --------- na ccm zitaongezeka kwani itakuwa kama vile kukimbia kazi ambayo umeshalipwa kumbe uanang'ang'ania ili kuikamilisha...... Tazama Damu za watu zimeshamwagika kuipigania CDM na ukombozi wa taifa hili sehemu nyingi, kkwa mzalendo halisi angekubali kupoteza maslahi yake ili chama hiki kifike mahali kutoa heshima ya damu iliyomwagika, na mungu afurahie hilo, usikatize mapango wa mungu laana itakufuata kwani damu ya wanyonge hawa bado inalia juu ya taifa hili

Aluta Continua CDM

Mungu ibariki CDM... Mungu ibariki TZ

Tulianza na mungu.... Tutamaliza na Mungu, Amen.

Ni vigumu sana kuingia Kwenye mizania Za Siasa hasa unapochukulia siasa si Uhalisia wa wazi wa nadharia. Wataalam wa sayansi waliweka kanuni mbalimbali Mfano kanuni Za maeneo au mzingo wa kitu Na maisha yetu tunainjoy kutumia kanuni hizo Kwenye fani Za maisha.

Lakini Elimu ya Sayansi imedharaulika, kukanyagwa Na kutupwa Na Siasa Za wanasiasa wengi wa Africa ingawa ukweli uko pale pale Kwamba wote tunaihitaji sayansi ituendeashee maisha ya kila siku, Na Siasa iweke Mazingira mazuri ya sayansi kuoperate. Wanasiasa wanafiki, waoga, ndumilakuwili wamekuwa vipofu wa kuiruhusu sayansi ya nchini Mwao kuchukua ukanda Na instead sayansi ya nje ya nchi imepewa mustakabali mkubwa nchini.

Nchi hii inahitaji wanasiasa wasio angalia sura ya mtu Bali sura ya Taifa. CHADEMA wameonyesha kitu hii inawezekana labda waje badilika baadae. Chadema imejidhihirishia Kwamba inanguvu ya kujisafisha yenyewe bila kuangalia athari zingine. Jipu linaitwa jipu Na dawa Yake ni kulitumbua, maumivu yapo lakini lazima litumbiliwe tu.. Nikiangalia CHAMA HIKI, kimekuwa Na Historia ya Kuwa Na urafiki, mshikamano Na umoja Kwa viongozi wa kada mbalimbali Kwa Muda mrefu. Inapotokea Kiongozi wa kada yoyote anapoleta sumu au moto mgeni au nia chafu Kwa mustakabali wa Chama, hapo undugu na urafiki huwekwa pembeni kabisa Na kulishughulikia tatizo bila kuangalia sura ya mtu.. Ni ukomavu Na UJASIRI .

Kama Leo wanaume wanaadabishana kikamilifu hata kabla ya kushika dola Basi ni dalili njema Kwamba wababe Hawa wakishika Dola wembe utakuwa ule-ule. Elimu ya Tanzania haita letewa mcheZo Na watu wachache wasiokemewa, maliasili ya Taifa haita Kuwa Na watu wanaorushiana mpira Na hakuna wa kuwawajibisha, polisi hawata jichukulia sheria wazijuaZo kuwanyanyasa wananchi Na hakuna wa kuwasema .. Mie nawaza hivyo labda watu wa historia mnaweza kunipa changamoto nisiyoijua..!
 
Lakini hata kabla ya issue ya Zitto wewe nakusomaga ukiwa na mtizamo tofauti na Chadema na mpinzani mkuu wa Chadema ni CCM samahani kama hauko CCM ila twambie wewe lipi zuri unalipenda Chadema tukuamini kama siyo mpizani wa Chadema basi

Wewe umejiunga JF juzi juzi tuu inawezekana hujasoma posts zangu za huko tulipotoka.
Pitia posts zangu utapata majibu ya maswali yako kisha urudi tena.
 
Dah!
Kiukweli nimeisoma hii post mpaka machozi yamenitoka, naomba usiendelee kamanda maana utanifanya niende jela siku nikikutana na Zito.
 
Itakufa ccm kwa kuzungukwa na wendawazimu na waokota makombo ya fisadizi. MABADILIKO NI CDM NA NI LAZIMA HATA MTEMBEE BILA NGUO.
 
Nilitaka kuikubali CDM kwa zile Siasa maridadi walizozionesha kipindi Cha kwanza Cha mechi hii ngumu ya siasa. Midfielder Zitto alikuwa hana mpinzani uwanjani Na I almost felt kuwa ukombozi umewadia, ufisadi umepatiwa jibu na soon the national cake will be equally distributed and enjoyed. LAKINI sasa, duuh, I was wrong , CDM Ni wale wale na nashukuru kwa kutojiunga nao. Ufisadi wa kabla ya kuchukua madaraka ni hatari sana, kutoiheshimu katiba yenu wenyewe ni mbaya sana, kutokukubali kukusolewa na kukataa challenge ni udikteta. With all respect bado sana.
 
Hivi kweli wewe ni engineer au engine kwa upande wa chadema. Ulichoongea hapa unachoona wewe kama engineer na siyo engine ya chadema ni kipi cha maana. Kunywa Maji ukalale ukue ukasomee uingeneer na siyo kuwa engine ya kutumika. Upo engine

Changia Hoja sio kuleta VIROJA hoja iliyopo mezani ni uimara wa CDM kuwajibishana na kwa kufanya hivi hata wakichukua Dora uwajibikaji utakuwepo, naomba tuangalie udhaifu wa CCM uliopo sasa
1. Watu wanakamatwa na Pembe za Ndovu lakini hadi sasa hakuna kinara wa Biashara hii aliyekamatwa na hata hawa vifaranga wanaokamatwa hatusikii mwendelezo wa kesi zao

2. Nchi imeingia katika orodha ya nchi zinazoongoza kwa biashara ya Madawa ya Kulevya lakini hadi sasa hatujasikia kinara wa biashara hii kukamatwa na cha ajabu Waziri Mkuu ambae ni kiongozi wa Serikali alitamka wazi kuwakamata hawa ni vigumu kwani nchi itateteleka.

3. Elimu imeshuka hakuna jitihada za makusudi kuipandisha zaidi tumesiki imeongezwa DIV 5

**Kama CCM wangekuwa madhubuti haya yote yangekuwa yamechukuliwa hatua na tusingekuwa hapa tulipo**
 
Ningekuwa juzi nisingekuwa JF Senior Expert Member

Wewe umejiunga JF juzi juzi tuu inawezekana hujasoma posts zangu za huko tulipotoka.
Pitia posts zangu utapata majibu ya maswali yako kisha urudi tena.
 
Mkuu kama hiko unachokisema kipo ndani ya chadema, leo hii Mbowe asingekuwa mwanachama.
umesomeka vizuri sana. mtu anapewa hela kipindi cha kampeni na wapinzani, anakikopesha chama na baadaye anakidai kulipwa tena na riba juu.
mtu anapewa hela na taasisi za nje kwa ajili ya chama, yeye anaanzisha gazeti la kwake. halafu eti wananchi tuwaamini. mimi najuta hata ruzuku (kodi yangu) inayoenda huko
ni kituko.
 
Ni vigumu sana kuingia Kwenye mizania Za Siasa hasa unapochukulia siasa si Uhalisia wa wazi wa nadharia. Wataalam wa sayansi waliweka kanuni mbalimbali Mfano kanuni Za maeneo au mzingo wa kitu Na maisha yetu tunainjoy kutumia kanuni hizo Kwenye fani Za maisha.

Lakini Elimu ya Sayansi imedharaulika, kukanyagwa Na kutupwa Na Siasa Za wanasiasa wengi wa Africa ingawa ukweli uko pale pale Kwamba wote tunaihitaji sayansi ituendeashee maisha ya kila siku, Na Siasa iweke Mazingira mazuri ya sayansi kuoperate. Wanasiasa wanafiki, waoga, ndumilakuwili wamekuwa vipofu wa kuiruhusu sayansi ya nchini Mwao kuchukua ukanda Na instead sayansi ya nje ya nchi imepewa mustakabali mkubwa nchini.

Nchi hii inahitaji wanasiasa wasio angalia sura ya mtu Bali sura ya Taifa. CHADEMA wameonyesha kitu hii inawezekana labda waje badilika baadae. Chadema imejidhihirishia Kwamba inanguvu ya kujisafisha yenyewe bila kuangalia athari zingine. Jipu linaitwa jipu Na dawa Yake ni kulitumbua, maumivu yapo lakini lazima litumbiliwe tu.. Nikiangalia CHAMA HIKI, kimekuwa Na Historia ya Kuwa Na urafiki, mshikamano Na umoja Kwa viongozi wa kada mbalimbali Kwa Muda mrefu. Inapotokea Kiongozi wa kada yoyote anapoleta sumu au moto mgeni au nia chafu Kwa mustakabali wa Chama, hapo undugu na urafiki huwekwa pembeni kabisa Na kulishughulikia tatizo bila kuangalia sura ya mtu.. Ni ukomavu Na UJASIRI .

Kama Leo wanaume wanaadabishana kikamilifu hata kabla ya kushika dola Basi ni dalili njema Kwamba wababe Hawa wakishika Dola wembe utakuwa ule-ule. Elimu ya Tanzania haita letewa mcheZo Na watu wachache wasiokemewa, maliasili ya Taifa haita Kuwa Na watu wanaorushiana mpira Na hakuna wa kuwawajibisha, polisi hawata jichukulia sheria wazijuaZo kuwanyanyasa wananchi Na hakuna wa kuwasema .. Mie nawaza hivyo labda watu wa historia mnaweza kunipa changamoto nisiyoijua..!
Well said.Sababu kubwa za kutumia milions of money kwenye vikao vya Bunge,Mabaraza ya madiwani na vikao vingine ni kuweza kutunga sheria,kanuni na miongozi mbalimbali ili ifuatwe.Lakini kwa kuwa wenye mamlaka ya kuhakikisha sheria,kanuni na miongozo mbalimbali wamefeli either kutokana na uwezo mdogo upstairs ama kutokana na kutapata nafasi hizo isivyo halali(Kimagumashi) mfano kuchakachua kura,rushwa,vyeti feki na uchafu mwingine wameshindwa kukiri udhaifu wao na badala yake kuamua kutuaminisha ktk matumizi ya hekima na busara za mtu binafsi-Na hakuna mtu anayehoji why tuendelee kuwa na vikao vya bunge,Nec nk. wakati kinachoamuliwa humo hatuwezi kukitekeleza-KIukweli Umasikini wetu si tu wa kipato tu bali kwa kiasi kikubwa upstairs
 
Bihagaze, you pls continue to be a pastor hapo ufufuo na uzimakama chadema wangekuwa wanawajibishana, basi Mbowe angekuwa ameishaondoka siku nyingi sana.haujui siasa na Mungu hapendi unafikikama sio mnafiki basi wewe ni mjinga, yaani hajuii kinachoendelea nyuma ya pazia

Wewe ni mwanaCHADEMA? Wana CHADEMA waliwahi kufikia maamuzi ya kumfukuza Mbowe kama walivyofanya kwa Zitto na wenzake? Wewe si mwanachama wa CHADEMA (judging from your thinking pattern). Lakini unatamani sana Mbowe afukuzwe na Zitto abaki. Kwa nini unamuogopa Mbowe na humuogopi Zitto? Au Zitto ni "mpinzani" rafiki?

Je, responsibility ya kuwajibishana iko kwa CHADEMA pekee? Vyama na taasisi nyingine hazipaswi kuwajibishana (au uwajibikaji kwao ni msamiati)? Mbona kila kukicha ni CHADEMA tu? A threat to the establishment? Hebu tupe mfano wa chama cha siasa hapa nchini chenye utamaduni wa kuwajibishana. Je, CCM wana utamaduni huo? I am not condoning anything.
 
mkuu hawataki kuamini kama wanaangamia
Mwasisi wa Taifa hili alisema bila ccm imara nchi hii itayumba.CCM ipo ICU na imeshapoteza mwelekeo.CCM si kile chama cha wakulima na wafanyakazi (jembe na Nyundo) .Chama kinatumia muda mwingi kuhangaika na wapinzani badala ya kukuza uchumina kushughulikia matatizo yanayowakabili watanzania,mtanzania bado anaishi kwa kipato cha chini ya dola moja ndani ya miaka hamsini ya uhuru,shule na hospitali choka mbaya wewe unafurahia na unaomba CDM ife ili ccm iendelee kutawala Tanzania ili iweje?Sio lazima tujitoe akili kila wakati-Tufikirie angalau kidogo hata kama unanufaika na mfumo uliopo-Majority Tanzania wanapata shida coz of poor ccm
 
Back
Top Bottom