Najikuta naanza KUIKUBALI CHADEMA..!

Najikuta naanza KUIKUBALI CHADEMA..!

kuna waumini wako wanakuangalia na kukusoma hapa, plz keep this nonsense yourself plz

hakuna akli hapa wala fumbo iko so clear chadema wapuuzi wamechemka na wanaharibu move nzima ya ukombozi

ona matuhuma ya uzinzi, kupokea hela CCM, na kila takataka

plz kaa kimya kwanza bana, I hope is very common wisdom for man who led by Holy Spirit plz
 
Amekuambia hayo ndo maono yake! Na ndicho akiaminicho.
Kwa nini unamlazimisha amini yako wewe?! Shame on u!!
 
Ukweli usipo ukubali, muda utakulazimisha uhukubali.
 
Mkuu kama hiko unachokisema kipo ndani ya chadema, leo hii Mbowe asingekuwa mwanachama.

Hivi ndibalema mbona wewe ni mkweli sana always?
Napenda sana washabiki wanaopenda facts,na sio wale wasioweza ku reason
 
Amekuambia hayo ndo maono yake! Na ndicho akiaminicho.
Kwa nini unamlazimisha amini yako wewe?! Shame on u!!
Na yeye huo ndo utashi wake mkuu,au aliyoyataja wewe hujawahi kusikika au kuona?
 
Mtu anavuliwa Vyeo kwa Makosa 11 ambayo kayafanya siku 11 mfululizo au ndani ya masaa 24???
Kama makosa yote ni ya kweli na hayakufanywa siku moja huoni kwamba mfuo mzima ndani ya CDM umeshindwa kufanya kazi??
Unafanya kosa la kwanza mpaka la kumi wanakutazama tu then unafanya la 11 Chama chote ikiwa ni pamoja na Mwenyekiti na Katibu Mwanasheria mkuu na Vingunge wengie wanakujia juu kaa Moshi wa kifuu!!!!!!!
Mnaorodhesha kosa la kwanza mpaka la 11 na kuuliza kwa nini tusikufukuze uanachama. Sijui ndo katiba nasema hivyo??
Unajua sisis wengine tunajuazaidi coefficient of expansion of copper kuliko kifungu rahisi ndani ya katiba ya CDM.
Ni kama vile mtu kawashitua walikuwa wamelalala?? Au WameFABRICATE???

Ulipoyaangalia yale makosa yametajwa sambamba na mtiririko wa miaka? Kwani makosa hayo yamefuatana kama umri wa mtu kwamba kabla ya kufika mwaka wa 11 alianza na 1,2,3.....?
 
Bihagaze ona aibu

chadema ina katiba yake, kuwa kama mtu hataridhika na maamuzi ya kamati kuu , anakata rufaa baraza kuu ...yote within chadema

zitto kavuliwa uongozi na kuwa punished kabla hajasikilizwa

ndio jaji anasema "You can not jail him first and hear him later" - justice Utamwa

zitto akakata rufaa baraza kuu la chadema, rufaa ikapigwa teke, kisa asikilizwe kwanza na kikao kilichomhukumu

KATIBA HII WALIIWEKA WENYEWE NA WANAOIBOMOA NI WENYEWE

from no where cjui ndio uko rohoni unasema UNAWAKUBALI CHADEMA na usomi wako wote

acha hizo FOE member, tena ukae kimya umeishaharibu

kesi ile zitto alishinda kabla haijaanza kusikilizwa kwa tuliokuwa na akili zetu

sasa unaikubali kivipi huku iko so clear kuna matatizo ya uongozi

Yawezekana huyu ni m2 mmoja amefungua user name nyingi kupotosha wanao potosheka. CDM ni chama imara, hizi myth lazima ziishe. Tangu dunia iumbwe uliona wapi chama chenye kutumia katiba yake sahii kuondoa magugu bila kujali sura? Chadema sio kama CCM ambayo viongozi wake wanabaka watoto wetu, Wanaharibu mifumo ya maendeleo, wanamaliza mali asili zetu wakikuta ni mtoto wa makamba au mtoto wa Mnauye au mtoto wa Mwinyi wanajifanya hawaoni. So Hizi comment zinazopinga ukweli haziwezi kuepukika, watanzania msife moyo.

Mfano Hivi kweli Nchi hii tungekuwa tunaitakia mema, Tungepeleka Jeshi la wananchi Mtwara lifanye ukatiri kwa watu eti wanapinga serikali isiweke wahuni kuchimba gas bila mikataba ya wazi?
Au Wafanya biashara na viongozi wa serikali waingie kwenye mbuga zetu za wanyama wasombe wanyama wetu kama Twiga, Chui, Simba n.k kuwapeleka kusiko julikana, viongozi wanao husika washughurikiwe?

Au Waziri mwenye dhamana mfano waziri wa mambo ya ndani awajibishwe kwa mauaji ya waziwazi kama ya yule mwandishi Mwangosi.

Au chama kishindwe kuchukua hatua kwa viongozi wanao ongezea wananchi mizigo kama vile wanapandisha holela bei za umeme na gesi, bei za mafuta ya petrol, bei za magari bila hata ya sababu zinazoeleweka? Nchi nyingine kupandisha hata asilimia moja kunakuwepo na sababu.

Wale wanao support maamuzi ya Zitto kuendelea kuharibu chama wana division 5.
 
Nimekuelewa sana kwamba katika siku zooote leo ndo umeona uwakubali hawa jamaa. Baada ya mahakama kuwasaidia kusuluhisha migogoro ya ndani ndipo ukawakubali!.

Na pia baada ya kuthibitisha kiwango chao cha violence kufikia hatua ya polisi kusaidia kutuliza vurugu miongoni mwao pale nje ya HC ndio chanzo kikuu cha wewe kuwakubali sasa!
Na mimi leo nimekubali kwamba binadamu tuna mitazamo tofauti.

Ni yule tu ambaye hataki kutumia full capacity of his/her thinking, atakaye shindwa kun'gamua walofanya vurugu HC ni watu wa aina gani? Na ndo huyo huyo atakaye dhani huyo kiongozi wa CHADEMA Temeke alopigwa usiku wa kuamkia jana kwamba kapigwa na CHADEMA. Ni kwa mtazamo huu, japo sifurahishwi na usaliti wa Zitto namshauri awe makini na maisha yake, kwani kuna watu wanaweza taka tumia huu mwanya kumdhuru wakidhani vilevile watu wataamini na kuichukia CHADEMA. Kulinda maslahi ya wakubwa kuna mitandao mirefu na tuombe Mungu atunusuru tuvuke salama kipindi hiki kigumu.
 
Mtu anavuliwa Vyeo kwa Makosa 11 ambayo kayafanya siku 11 mfululizo au ndani ya masaa 24???
Kama makosa yote ni ya kweli na hayakufanywa siku moja huoni kwamba mfuo mzima ndani ya CDM umeshindwa kufanya kazi??
Unafanya kosa la kwanza mpaka la kumi wanakutazama tu then unafanya la 11 Chama chote ikiwa ni pamoja na Mwenyekiti na Katibu Mwanasheria mkuu na Vingunge wengie wanakujia juu kaa Moshi wa kifuu!!!!!!!
Mnaorodhesha kosa la kwanza mpaka la 11 na kuuliza kwa nini tusikufukuze uanachama. Sijui ndo katiba nasema hivyo??
Unajua sisis wengine tunajuazaidi coefficient of expansion of copper kuliko kifungu rahisi ndani ya katiba ya CDM.
Ni kama vile mtu kawashitua walikuwa wamelalala?? Au WameFABRICATE???

Hujui ilishatokea baraza lilitaka kumshughulikia na ikawa bahati yake mwenyekiti alimwombea grace period kwa kudhani angejirudi na sasa imefikia mwisho kwani inaonekana hakuteleza bali alikusudia kuiua CDM kwa nini aachwe?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ni vigumu sana kuingia Kwenye mizania Za Siasa hasa unapochukulia siasa si Uhalisia wa wazi wa nadharia. Wataalam wa sayansi waliweka kanuni mbalimbali Mfano kanuni Za maeneo au mzingo wa kitu Na maisha yetu tunainjoy kutumia kanuni hizo Kwenye fani Za maisha.

Lakini Elimu ya Sayansi imedharaulika, kukanyagwa Na kutupwa Na Siasa Za wanasiasa wengi wa Africa ingawa ukweli uko pale pale Kwamba wote tunaihitaji sayansi ituendeashee maisha ya kila siku, Na Siasa iweke Mazingira mazuri ya sayansi kuoperate. Wanasiasa wanafiki, waoga, ndumilakuwili wamekuwa vipofu wa kuiruhusu sayansi ya nchini Mwao kuchukua ukanda Na instead sayansi ya nje ya nchi imepewa mustakabali mkubwa nchini.

Nchi hii inahitaji wanasiasa wasio angalia sura ya mtu Bali sura ya Taifa. CHADEMA wameonyesha kitu hii inawezekana labda waje badilika baadae. Chadema imejidhihirishia Kwamba inanguvu ya kujisafisha yenyewe bila kuangalia athari zingine. Jipu linaitwa jipu Na dawa Yake ni kulitumbua, maumivu yapo lakini lazima litumbiliwe tu.. Nikiangalia CHAMA HIKI, kimekuwa Na Historia ya Kuwa Na urafiki, mshikamano Na umoja Kwa viongozi wa kada mbalimbali Kwa Muda mrefu. Inapotokea Kiongozi wa kada yoyote anapoleta sumu au moto mgeni au nia chafu Kwa mustakabali wa Chama, hapo undugu na urafiki huwekwa pembeni kabisa Na kulishughulikia tatizo bila kuangalia sura ya mtu.. Ni ukomavu Na UJASIRI .

Kama Leo wanaume wanaadabishana kikamilifu hata kabla ya kushika dola Basi ni dalili njema Kwamba wababe Hawa wakishika Dola wembe utakuwa ule-ule. Elimu ya Tanzania haita letewa mcheZo Na watu wachache wasiokemewa, maliasili ya Taifa haita Kuwa Na watu wanaorushiana mpira Na hakuna wa kuwawajibisha, polisi hawata jichukulia sheria wazijuaZo kuwanyanyasa wananchi Na hakuna wa kuwasema .. Mie nawaza hivyo labda watu wa historia mnaweza kunipa changamoto nisiyoijua..!

Ni ukweli usioacha shaka yoyote mkuu tatizo watakuja watu wasiokuwa wana CDM ambao wanajifanya ni wamechukizwa sana na maamuzi ya CC ambao watahack mawazo yako huru na kukurushia maneno mbofu mbofu!
 
Tanzania ni nchi moja yenye vijana wanaokimbilia siasa na sio kwamba wapo pale kuiokoa nchi wapo pale kwa matumbo yao.
Vijana wengi wa Tanzania wanapenda vya bure ndio maana wanagombea madaraka na kusafirisha unga.
Suluhisho Serikali iwakate kodi kubwa wanasiasa kwenye mapato yao yatokanayo na siasa(iwepo sheria).
Serikali kutumia usalama wa Taifa ifanye uchunguzi kuhusu wanaotajwa kwnye biashara haramu na waadhibiwe kwa mujibu wa sheria bila kuangalia huyu mtoto wa Kapuya au Kingunge(Usalama wa Taifa uundwe upya na wenye watu weledi na usiwe na watu kisa baba alikuwa alwatan au mwanachama mashuhuri wakati kijana hana weledi wowote).
Hitimisho
Eng pamoja na wenzio naomba sasa tuacheni kuipa siasa asilimia kubwa kwenye maisha yetu ipewe nafasi ndogo nazo kujua sera za vyama na kuenda kupiga kura.
"Umeme umepanda bei"
 
mkuu hawataki kuamini kama wanaangamia

Nimeamini kuishabikia ccm ni kujitoa kwanza ufahamu ili upooze njaa inayokutesa,unataka kumwaminisha nani kua CHADEMA inakufa? Na inakufa sababu ya kuwaondoa wasaliti? Ndo kinachosababisha ccm isiwafukuze wenye kashfa? Mnaomshabikia zitto mna akili kama masog.nge kila kukicha kupiga picha makali..
 
Ni vigumu sana kuingia Kwenye mizania Za Siasa hasa unapochukulia siasa si Uhalisia wa wazi wa nadharia. Wataalam wa sayansi waliweka kanuni mbalimbali Mfano kanuni Za maeneo au mzingo wa kitu Na maisha yetu tunainjoy kutumia kanuni hizo Kwenye fani Za maisha.

Lakini Elimu ya Sayansi imedharaulika, kukanyagwa Na kutupwa Na Siasa Za wanasiasa wengi wa Africa ingawa ukweli uko pale pale Kwamba wote tunaihitaji sayansi ituendeashee maisha ya kila siku, Na Siasa iweke Mazingira mazuri ya sayansi kuoperate. Wanasiasa wanafiki, waoga, ndumilakuwili wamekuwa vipofu wa kuiruhusu sayansi ya nchini Mwao kuchukua ukanda Na instead sayansi ya nje ya nchi imepewa mustakabali mkubwa nchini.

Nchi hii inahitaji wanasiasa wasio angalia sura ya mtu Bali sura ya Taifa. CHADEMA wameonyesha kitu hii inawezekana labda waje badilika baadae. Chadema imejidhihirishia Kwamba inanguvu ya kujisafisha yenyewe bila kuangalia athari zingine. Jipu linaitwa jipu Na dawa Yake ni kulitumbua, maumivu yapo lakini lazima litumbiliwe tu.. Nikiangalia CHAMA HIKI, kimekuwa Na Historia ya Kuwa Na urafiki, mshikamano Na umoja Kwa viongozi wa kada mbalimbali Kwa Muda mrefu. Inapotokea Kiongozi wa kada yoyote anapoleta sumu au moto mgeni au nia chafu Kwa mustakabali wa Chama, hapo undugu na urafiki huwekwa pembeni kabisa Na kulishughulikia tatizo bila kuangalia sura ya mtu.. Ni ukomavu Na UJASIRI .

Kama Leo wanaume wanaadabishana kikamilifu hata kabla ya kushika dola Basi ni dalili njema Kwamba wababe Hawa wakishika Dola wembe utakuwa ule-ule. Elimu ya Tanzania haita letewa mcheZo Na watu wachache wasiokemewa, maliasili ya Taifa haita Kuwa Na watu wanaorushiana mpira Na hakuna wa kuwawajibisha, polisi hawata jichukulia sheria wazijuaZo kuwanyanyasa wananchi Na hakuna wa kuwasema .. Mie nawaza hivyo labda watu wa historia mnaweza kunipa changamoto nisiyoijua..!

Tatizo lilipo ni kwamba yawezekana kumwajibisha mtu ,kiongozi ama mwanachama kwa makosa aliyoyafanya na yawe makosa ya kweli na si makosa ya kutengenezwa ili tu kufanikisha malengo ya wachache.
Inawezekana dawa ya jibu ni kulipasua,lakini inawezekana pia jibu hilo likakamuliwa kwasababu tu linaleta kero na kuzuia baadhi ya mambo yasifanyike kwa maslahi ya mwenye jibu.
Ni vyema tukajiridhisha na upasuaji wa jibu hilo,ili wakati linapasuliwa basi na kile kipunje kitoke kabisa pasi ya kukifanya kiendelee kuwepo na kuleta jipu lingine.
unasema kuwa fulani alipewa magari-hii inamaana alipewa,ni bure na unauelezea umma kuwa nimeelezwa na mhusika kuwa alimpa.lakini anapotoka mhusika na kukataa yote uliyoyasema inaleta shaka sana na kuonyesha kuwa maamuzi mengi ya kupasua jipu yamefanya kwa kulikomoa jipu eti tu kwa kuwa linasababisha mgojwa asile vizuri.
Hatuwezi kuongoza taasisi na nchi kwa maamuzi ya upande mmoja ni lazima kuwe na ushirikishwaji na utatuzi wa matatizo ufuate misingi ya kidemokrasia na si vinginevyo
 
Maneno yako nayachukuia kama stori fulani ya kijiweni ambayo inarudiwa rudiwa ili angalau kuwasetiri watu kadhaa.
Sioni kama kuna tangible record kuonyesha kwamba maongezi unayodai yalifanyika.
Tuchuklie kwamba yalifanyika na mtu kuachwa aendelee kukiua chama. Huoni sasa hivi gharama yake haitakuwa kwa Zitto tu??
Hii kitu ya Zitto itaondoka na uchafum wingi ndani ya CHADEMA.

Hebu fikiria bado sisi wananchama hatujafungua kesi ya kuondoa kifungu cha ukomo wa uongozi kinyemela ndani ya katiba.
Watu wanakwenda shule wanaclaim research walizofanya watu wengine na kusahau kwamba kazi kubwa ya Elimu ni kutatua matatizo yanayoikabili jamii na si vinginevyo.
Matatizo hatatuliwi kiimra yanatatuliwa kwa kufuata flow za kisheria,taratibu za kikatiba na vikao husika.

Hujui ilishatokea baraza lilitaka kumshughulikia na ikawa bahati yake mwenyekiti alimwombea grace period kwa kudhani angejirudi na sasa imefikia mwisho kwani inaonekana hakuteleza bali alikusudia kuiua CDM kwa nini aachwe?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ni vigumu sana kuingia Kwenye mizania Za Siasa hasa unapochukulia siasa si Uhalisia wa wazi wa nadharia. Wataalam wa sayansi waliweka kanuni mbalimbali Mfano kanuni Za maeneo au mzingo wa kitu Na maisha yetu tunainjoy kutumia kanuni hizo Kwenye fani Za maisha.

Lakini Elimu ya Sayansi imedharaulika, kukanyagwa Na kutupwa Na Siasa Za wanasiasa wengi wa Africa ingawa ukweli uko pale pale Kwamba wote tunaihitaji sayansi ituendeashee maisha ya kila siku, Na Siasa iweke Mazingira mazuri ya sayansi kuoperate. Wanasiasa wanafiki, waoga, ndumilakuwili wamekuwa vipofu wa kuiruhusu sayansi ya nchini Mwao kuchukua ukanda Na instead sayansi ya nje ya nchi imepewa mustakabali mkubwa nchini.

Nchi hii inahitaji wanasiasa wasio angalia sura ya mtu Bali sura ya Taifa. CHADEMA wameonyesha kitu hii inawezekana labda waje badilika baadae. Chadema imejidhihirishia Kwamba inanguvu ya kujisafisha yenyewe bila kuangalia athari zingine. Jipu linaitwa jipu Na dawa Yake ni kulitumbua, maumivu yapo lakini lazima litumbiliwe tu.. Nikiangalia CHAMA HIKI, kimekuwa Na Historia ya Kuwa Na urafiki, mshikamano Na umoja Kwa viongozi wa kada mbalimbali Kwa Muda mrefu. Inapotokea Kiongozi wa kada yoyote anapoleta sumu au moto mgeni au nia chafu Kwa mustakabali wa Chama, hapo undugu na urafiki huwekwa pembeni kabisa Na kulishughulikia tatizo bila kuangalia sura ya mtu.. Ni ukomavu Na UJASIRI .

Kama Leo wanaume wanaadabishana kikamilifu hata kabla ya kushika dola Basi ni dalili njema Kwamba wababe Hawa wakishika Dola wembe utakuwa ule-ule. Elimu ya Tanzania haita letewa mcheZo Na watu wachache wasiokemewa, maliasili ya Taifa haita Kuwa Na watu wanaorushiana mpira Na hakuna wa kuwawajibisha, polisi hawata jichukulia sheria wazijuaZo kuwanyanyasa wananchi Na hakuna wa kuwasema .. Mie nawaza hivyo labda watu wa historia mnaweza kunipa changamoto nisiyoijua..!

Well said, ambao hata hawali pilipili nashangaa wakihisi kuwashwa. Mimi nataka kumpa talaka mke wangu kisha jirani analalamika simtendei haki wife, hapo jirani lazima nimshuku kutembea na wife kukamilisha mipango yake yakumtumia kama daraja kupitisha material toka kwangu kwenda kwake. Ila jirani huyu hana ujasiri wa kufukuza wa kwakwe hataaonyeshwe timbwili gani.
 
Kila mtu anamtazamo wake na hatuwezi kufanana kimtazamo.

Ata mimi mwanzo nilizani Chadema hawata weza kumshuulikia ZZK kwa kuhofia Chama kugawanyika, uku nikiwa na mifano kadhaa kichwani kwangu kama CCM kumfukuza au kumkemea Lowasa wanavyoogopa kwasababu tu Lowasa akikasirika atakigawa chama kwakuwa anawafuasi wengi. Pia niliwaza mbali kwanini mwenyekiti wa chama changu cha ccm asimshuulikie Lowasa wakati yeye anamajeshi na wizara zote zinahudumu chini yake tena anausalama wa taifa, sasa anachomuogopa Lowasa ni nini hasa. Kiukweli mpaka leo sijapata jibu mana dunia nzima inayajua maovu ya Lowasa na Dunia inashangaa kwanini mpaka leo huyu bwana yupo uraiyani.

Waswahili wanasema usipostaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, Sasa Chadema ni chama kinachojiandaa kushika dola na hakiwezi kushika dola bila kuwa na kura za kutosha toka kwa Watanzania na kipindi hiki ndo tunaelekea kipindi cha uchaguzi na wao wameamua kusafisha chama bila kujali ni kiasi gani cha wapiga kura watapoteza ila mradi fulani ni uchafu basi atatolewa.

Kiukweli ujasiri huu mkubwa ulioonyeshwa na Chadema ndio hasa ulionifanya niipende Chadema na kuamua kuingia upande huu wa mabadiliko.

NB: laiti ccm wangekuwa na uthubutu angalau nusu ya huu waliouonyesha Chadema hakika wangeendelea kutawala miaka mingi ijayo.
 
Tanzania ni nchi moja yenye vijana wanaokimbilia siasa na sio kwamba wapo pale kuiokoa nchi wapo pale kwa matumbo yao.
Vijana wengi wa Tanzania wanapenda vya bure ndio maana wanagombea madaraka na kusafirisha unga.
Suluhisho Serikali iwakate kodi kubwa wanasiasa kwenye mapato yao yatokanayo na siasa(iwepo sheria).
Serikali kutumia usalama wa Taifa ifanye uchunguzi kuhusu wanaotajwa kwnye biashara haramu na waadhibiwe kwa mujibu wa sheria bila kuangalia huyu mtoto wa Kapuya au Kingunge(Usalama wa Taifa uundwe upya na wenye watu weledi na usiwe na watu kisa baba alikuwa alwatan au mwanachama mashuhuri wakati kijana hana weledi wowote).
Hitimisho
Eng pamoja na wenzio naomba sasa tuacheni kuipa siasa asilimia kubwa kwenye maisha yetu ipewe nafasi ndogo nazo kujua sera za vyama na kuenda kupiga kura.
"Umeme umepanda bei"[/QUOTE]

Mkuu, mawazo yako ni mazuri ila kuacha kuijadili siasa ni sawa na kuacha mambo yajiendeshe yenyewe na hiyo itakuwa ni hatari kubwa zaidi.

Hapo kwenye red mkuu, umeandika jambo muimu kati ya mambo muimu, ni kweli umeme umepanda tena zaidi ya kupanda bei alafu Watanzania tumenyamaza kimya. Kiukweli hii nchi haina uongozi na uongozi uliopo umeshindwa kabisa, na baadhi ya watu wanaofuraiya kuanguka kwa Chadema mi binafsi nawasikitikia kwa kuwa Chadema ndio chama pekee kilichokuwa kinaikumbusha nakuilazimisha hiii serekali ya CCM kututumikia na kuakikisha huduma zote muhimu zinapatikana kwa urahisi na nafuu.

Tokea ZZK aivuruge Chadema tunaona umeme umepanda kwa 60% na watawala hawana hofu maana wanajua mdomo wa wananchi (CHADEMA) Upo bize ktk kushuulikia matatizo ya Zito.

Back
Top Bottom