Najikuta naanza KUIKUBALI CHADEMA..!

Najikuta naanza KUIKUBALI CHADEMA..!

Ni Mpuuzi tu atakayeupinga ukweli huu unaouma aliouweka hapa Injinia.....Barikiwa sana ila kama wale wenzangu wenye vichwa maji hawataelewa kitu hapa
 
Chadema wasingekuwa imara ingekuwa chama historia manake MACCM kila mbinu waliyotumia imebuma na washukuru walichukuwa mlengo wa nguvu ya umma bila hivyo mpaka sasa wassira angefanikisha lengo lake
 
Bihagaze ona aibu

chadema ina katiba yake, kuwa kama mtu hataridhika na maamuzi ya kamati kuu , anakata rufaa baraza kuu ...yote within chadema

zitto kavuliwa uongozi na kuwa punished kabla hajasikilizwa

ndio jaji anasema "You can not jail him first and hear him later" - justice Utamwa

zitto akakata rufaa baraza kuu la chadema, rufaa ikapigwa teke, kisa asikilizwe kwanza na kikao kilichomhukumu

KATIBA HII WALIIWEKA WENYEWE NA WANAOIBOMOA NI WENYEWE

from no where cjui ndio uko rohoni unasema UNAWAKUBALI CHADEMA na usomi wako wote

acha hizo FOE member, tena ukae kimya umeishaharibu

kesi ile zitto alishinda kabla haijaanza kusikilizwa kwa tuliokuwa na akili zetu

sasa unaikubali kivipi huku iko so clear kuna matatizo ya uongozi

Mods piga ban hii mitu! unaweza thibitisha wapi Zitto alipokata rufaa? unajua maana ya kuonyesha nia ya kukata rufaa? tupa hii mutu jela! alah
 
ni vigumu sana kuingia kwenye mizania za siasa hasa unapochukulia siasa si uhalisia wa wazi wa nadharia. Wataalam wa sayansi waliweka kanuni mbalimbali mfano kanuni za maeneo au mzingo wa kitu na maisha yetu tunainjoy kutumia kanuni hizo kwenye fani za maisha.

Lakini elimu ya sayansi imedharaulika, kukanyagwa na kutupwa na siasa za wanasiasa wengi wa africa ingawa ukweli uko pale pale kwamba wote tunaihitaji sayansi ituendeashee maisha ya kila siku, na siasa iweke mazingira mazuri ya sayansi kuoperate. Wanasiasa wanafiki, waoga, ndumilakuwili wamekuwa vipofu wa kuiruhusu sayansi ya nchini mwao kuchukua ukanda na instead sayansi ya nje ya nchi imepewa mustakabali mkubwa nchini.

Nchi hii inahitaji wanasiasa wasio angalia sura ya mtu bali sura ya taifa. Chadema wameonyesha kitu hii inawezekana labda waje badilika baadae. Chadema imejidhihirishia kwamba inanguvu ya kujisafisha yenyewe bila kuangalia athari zingine. Jipu linaitwa jipu na dawa yake ni kulitumbua, maumivu yapo lakini lazima litumbiliwe tu.. Nikiangalia chama hiki, kimekuwa na historia ya kuwa na urafiki, mshikamano na umoja kwa viongozi wa kada mbalimbali kwa muda mrefu. Inapotokea kiongozi wa kada yoyote anapoleta sumu au moto mgeni au nia chafu kwa mustakabali wa chama, hapo undugu na urafiki huwekwa pembeni kabisa na kulishughulikia tatizo bila kuangalia sura ya mtu.. Ni ukomavu na ujasiri .

Kama leo wanaume wanaadabishana kikamilifu hata kabla ya kushika dola basi ni dalili njema kwamba wababe hawa wakishika dola wembe utakuwa ule-ule. Elimu ya tanzania haita letewa mchezo na watu wachache wasiokemewa, maliasili ya taifa haita kuwa na watu wanaorushiana mpira na hakuna wa kuwawajibisha, polisi hawata jichukulia sheria wazijuazo kuwanyanyasa wananchi na hakuna wa kuwasema .. Mie nawaza hivyo labda watu wa historia mnaweza kunipa changamoto nisiyoijua..!

uzi wako ni zaidi ya nyuzi zote zilizotangulia hapa jukwaani.good enough tena wamechelewa kuamua.
 
Nadhani ni mtazamo wangu tu juu ya kila nachokiona sidhani Kama unanihukumu Kwa mtazamo wa mawazo yangu.. Ila ukileta mawazo yako Nami nitayaheshimu Kama mawazo yako Na sio matusi Na kashfa. Sijui Watanzania Tumetoaawapi ujasiri wa kutukanana waziwazi Kwa jina la Siasa. ?!?

Mkuu,

Nimependa mawazo yako. Ni mazuri na ya kisayansi.

Hawa wanaoleta matusi hapa jf ukiangalia kwa makini ni waajiriwa na uwekewa mb bure yamkini hata simu upewa bure. Wako hapo masaa yote kuhakikisha kila thread wanaipinga kwa mtazamo na maslai yao.

Tulishawajua na hawatatuzuia kunywa maji . Siasa za tanzania zimetekwa na vibaka na wenye hekima kujitenga. Sasa wenye hekima warejee ktk siasa na kuwafurumua hawa vibaka kwa nguvu zote.
 
Wakola!
 
Nimeikubali mfano wa jipu ni sawa na mfano wa sindano au drip..... mtoto akizaliwa leo na akaonekana ana homa kali huandikiwa sindano za masaa aonavyo daktar kulingana na hali ya mtoto na mtoto hudungwa sindano ili apone japo kachanga lakin lazima kamalize dozi bila kuonewa huruma ili kapone.........chadema wameonesha njia na msimamo mkubwa sana...... bora uwe na wanachama wachache waadilifu kuliko maelfu wasio waadilifu......zzk alilewa sifa akadhan chama atakiendesha anavyoona yeye na kwa vile walimvimbisha kichwa sasa wemmaliza hao hao ccm
 
Mkuu kama hiko unachokisema kipo ndani ya chadema, leo hii Mbowe asingekuwa mwanachama.

CCM mtakaa sana sie tushampa Mbowe nguvu ya kuhakikisha 2015 watanganyika tunang'ara, sasa kama nyie CCM mnamchukia Mbowe kwa masrahi ya nani?
 
uzi wako ni zaidi ya nyuzi zote zilizotangulia hapa jukwaani.good enough tena wamechelewa kuamua.

Salute kwanza mkuu,
Nimeichangia hii post ila wewe umefunga mjadala mzima.
 
Kwa hiyo una maanisha yalifanyika kwa pamoja??LOL:becky:

Ulipoyaangalia yale makosa yametajwa sambamba na mtiririko wa miaka? Kwani makosa hayo yamefuatana kama umri wa mtu kwamba kabla ya kufika mwaka wa 11 alianza na 1,2,3.....?
 
Bihagaze ona aibu

chadema ina katiba yake, kuwa kama mtu hataridhika na maamuzi ya kamati kuu , anakata rufaa baraza kuu ...yote within chadema

zitto kavuliwa uongozi na kuwa punished kabla hajasikilizwa

ndio jaji anasema "You can not jail him first and hear him later" - justice Utamwa

zitto akakata rufaa baraza kuu la chadema, rufaa ikapigwa teke, kisa asikilizwe kwanza na kikao kilichomhukumu

KATIBA HII WALIIWEKA WENYEWE NA WANAOIBOMOA NI WENYEWE

from no where cjui ndio uko rohoni unasema UNAWAKUBALI CHADEMA na usomi wako wote

acha hizo FOE member, tena ukae kimya umeishaharibu

kesi ile zitto alishinda kabla haijaanza kusikilizwa kwa tuliokuwa na akili zetu

sasa unaikubali kivipi huku iko so clear kuna matatizo ya uongozi

baada ya kuona Dr Slaa ameweka "like" kwenye post ya hapo juu, ikanibidi niirudie kusoma mara mbili mbili kujaribu kuielewa vizuri zaidi kuwa pengine kuna kitu nimeki-miss..!

what's the catch, Dr Slaa? what's smoking over there??
 
Nadhani ni mtazamo wangu tu juu ya kila nachokiona sidhani Kama unanihukumu Kwa mtazamo wa mawazo yangu.. Ila ukileta mawazo yako Nami nitayaheshimu Kama mawazo yako Na sio matusi Na kashfa. Sijui Watanzania Tumetoaawapi ujasiri wa kutukanana waziwazi Kwa jina la Siasa. ?!?

Eng. Msamehe bure. Akili ndogo haiwezi kutawala akili kubwa hata siku moja.
 
Ni vigumu sana kuingia Kwenye mizania Za Siasa hasa unapochukulia siasa si Uhalisia wa wazi wa nadharia. Wataalam wa sayansi waliweka kanuni mbalimbali Mfano kanuni Za maeneo au mzingo wa kitu Na maisha yetu tunainjoy kutumia kanuni hizo Kwenye fani Za maisha.

Lakini Elimu ya Sayansi imedharaulika, kukanyagwa Na kutupwa Na Siasa Za wanasiasa wengi wa Africa ingawa ukweli uko pale pale Kwamba wote tunaihitaji sayansi ituendeashee maisha ya kila siku, Na Siasa iweke Mazingira mazuri ya sayansi kuoperate. Wanasiasa wanafiki, waoga, ndumilakuwili wamekuwa vipofu wa kuiruhusu sayansi ya nchini Mwao kuchukua ukanda Na instead sayansi ya nje ya nchi imepewa mustakabali mkubwa nchini.

Nchi hii inahitaji wanasiasa wasio angalia sura ya mtu Bali sura ya Taifa. CHADEMA wameonyesha kitu hii inawezekana labda waje badilika baadae. Chadema imejidhihirishia Kwamba inanguvu ya kujisafisha yenyewe bila kuangalia athari zingine. Jipu linaitwa jipu Na dawa Yake ni kulitumbua, maumivu yapo lakini lazima litumbiliwe tu.. Nikiangalia CHAMA HIKI, kimekuwa Na Historia ya Kuwa Na urafiki, mshikamano Na umoja Kwa viongozi wa kada mbalimbali Kwa Muda mrefu. Inapotokea Kiongozi wa kada yoyote anapoleta sumu au moto mgeni au nia chafu Kwa mustakabali wa Chama, hapo undugu na urafiki huwekwa pembeni kabisa Na kulishughulikia tatizo bila kuangalia sura ya mtu.. Ni ukomavu Na UJASIRI .

Kama Leo wanaume wanaadabishana kikamilifu hata kabla ya kushika dola Basi ni dalili njema Kwamba wababe Hawa wakishika Dola wembe utakuwa ule-ule. Elimu ya Tanzania haita letewa mcheZo Na watu wachache wasiokemewa, maliasili ya Taifa haita Kuwa Na watu wanaorushiana mpira Na hakuna wa kuwawajibisha, polisi hawata jichukulia sheria wazijuaZo kuwanyanyasa wananchi Na hakuna wa kuwasema .. Mie nawaza hivyo labda watu wa historia mnaweza kunipa changamoto nisiyoijua..!

Nina wasiwasi na elimu yako kwa huo uelewa wako chama kisichofuata katiba yake ndiyo unaona chama bora kweli BINAADAMU MASHAKA
 
Mwenye akili timamu lazima aikubali CDM.

Karibu sana kamanda.
 
CCM mtakaa sana sie tushampa Mbowe nguvu ya kuhakikisha 2015 watanganyika tunang'ara, sasa kama nyie CCM mnamchukia Mbowe kwa masrahi ya nani?

KAMANDA usihangaike na huyo jamaa , mjadala umefungwa .
 
Bihagaze, you pls continue to be a pastor hapo ufufuo na uzimakama chadema wangekuwa wanawajibishana, basi Mbowe angekuwa ameishaondoka siku nyingi sana.haujui siasa na Mungu hapendi unafikikama sio mnafiki basi wewe ni mjinga, yaani hajuii kinachoendelea nyuma ya pazia

We simbilisi? Bukula? orodhesha makosa ya Mbowe tulinganishe na ya MM
 
Back
Top Bottom