Najikuta naanza KUIKUBALI CHADEMA..!

Najikuta naanza KUIKUBALI CHADEMA..!

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
1,487
Reaction score
913
Ni vigumu sana kuingia Kwenye mizania Za Siasa hasa unapochukulia siasa si Uhalisia wa wazi wa nadharia. Wataalam wa sayansi waliweka kanuni mbalimbali Mfano kanuni Za maeneo au mzingo wa kitu Na maisha yetu tunainjoy kutumia kanuni hizo Kwenye fani Za maisha.

Lakini Elimu ya Sayansi imedharaulika, kukanyagwa Na kutupwa Na Siasa Za wanasiasa wengi wa Africa ingawa ukweli uko pale pale Kwamba wote tunaihitaji sayansi ituendeashee maisha ya kila siku, Na Siasa iweke Mazingira mazuri ya sayansi kuoperate. Wanasiasa wanafiki, waoga, ndumilakuwili wamekuwa vipofu wa kuiruhusu sayansi ya nchini Mwao kuchukua ukanda Na instead sayansi ya nje ya nchi imepewa mustakabali mkubwa nchini.

Nchi hii inahitaji wanasiasa wasio angalia sura ya mtu Bali sura ya Taifa. CHADEMA wameonyesha kitu hii inawezekana labda waje badilika baadae. Chadema imejidhihirishia Kwamba inanguvu ya kujisafisha yenyewe bila kuangalia athari zingine. Jipu linaitwa jipu Na dawa Yake ni kulitumbua, maumivu yapo lakini lazima litumbiliwe tu.. Nikiangalia CHAMA HIKI, kimekuwa Na Historia ya Kuwa Na urafiki, mshikamano Na umoja Kwa viongozi wa kada mbalimbali Kwa Muda mrefu. Inapotokea Kiongozi wa kada yoyote anapoleta sumu au moto mgeni au nia chafu Kwa mustakabali wa Chama, hapo undugu na urafiki huwekwa pembeni kabisa Na kulishughulikia tatizo bila kuangalia sura ya mtu.. Ni ukomavu Na UJASIRI .

Kama Leo wanaume wanaadabishana kikamilifu hata kabla ya kushika dola Basi ni dalili njema Kwamba wababe Hawa wakishika Dola wembe utakuwa ule-ule. Elimu ya Tanzania haita letewa mcheZo Na watu wachache wasiokemewa, maliasili ya Taifa haita Kuwa Na watu wanaorushiana mpira Na hakuna wa kuwawajibisha, polisi hawata jichukulia sheria wazijuaZo kuwanyanyasa wananchi Na hakuna wa kuwasema .. Mie nawaza hivyo labda watu wa historia mnaweza kunipa changamoto nisiyoijua..!
 
Nimekuelewa sana kwamba katika siku zooote leo ndo umeona uwakubali hawa jamaa. Baada ya mahakama kuwasaidia kusuluhisha migogoro ya ndani ndipo ukawakubali!.

Na pia baada ya kuthibitisha kiwango chao cha violence kufikia hatua ya polisi kusaidia kutuliza vurugu miongoni mwao pale nje ya HC ndio chanzo kikuu cha wewe kuwakubali sasa!

Na mimi leo nimekubali kwamba binadamu tuna mitazamo tofauti.
 
machizi mpo wengi sana Bavicha yaani uanikubali wakati inakufa tafuta tiba!
 
exactly, hata wataaramu walishasema kwamba ili maendeleo yapate kuwepo sehemu sharti pawe na migongano.naona sasa cdm ikizidi kuchupa kutoka hatua moja ndongo, kuelekea hatua nyingine kubwa, ambapo maadui wake hawawezi kuidhuru tena.kwani cdm ikivuka hiki kizingiti, kazi pekee mbeleyao ni uchaguzi wa serikali za mitaa,ambako matokeo yake yatawaandaa ccm kisaikorojia kukabidhi nchi kwa amani.
 
Mtu anavuliwa Vyeo kwa Makosa 11 ambayo kayafanya siku 11 mfululizo au ndani ya masaa 24???
Kama makosa yote ni ya kweli na hayakufanywa siku moja huoni kwamba mfumo mzima ndani ya CDM umeshindwa kufanya kazi??
Unafanya kosa la kwanza mpaka la kumi wanakutazama tu then unafanya kosa la 11 Chama chote ikiwa ni pamoja na Mwenyekiti na Katibu Mwanasheria mkuu na Vingunge wengie wanakujia juu kaa Moshi wa kifuu!!!!!!!

Mnaorodhesha kosa la kwanza mpaka la 11 na kuuliza kwa nini tusikufukuze uanachama. Sijui ndo katiba nasema hivyo??
Unajua sisi wengine tunajua zaidi coefficient of expansion of copper kuliko kifungu rahisi ndani ya katiba ya CDM.

Ni kama vile mtu kawashitua walikuwa wamelalala?? Au WameFABRICATE???
 
Chadema Mwendo uleule. Waliwauwa akina NCCR na CUF, ila hapa wamegonga kisiki na kuangukia Midenge.
 
Big up kwa kuliona hilo, pia tujue kwamba CCM wanatumia nafasi kwa sasa kuwateka watu kuwatesa na kuua na kusingizia ni CHADEMA,
 
Ni vigumu sana kuingia Kwenye mizania Za Siasa hasa unapochukulia siasa si Uhalisia wa wazi wa nadharia. Wataalam wa sayansi waliweka kanuni mbalimbali Mfano kanuni Za maeneo au mzingo wa kitu Na maisha yetu tunainjoy kutumia kanuni hizo Kwenye fani Za maisha.

Lakini Elimu ya Sayansi imedharaulika, kukanyagwa Na kutupwa Na Siasa Za wanasiasa wengi wa Africa ingawa ukweli uko pale pale Kwamba wote tunaihitaji sayansi ituendeashee maisha ya kila siku, Na Siasa iweke Mazingira mazuri ya sayansi kuoperate. Wanasiasa wanafiki, waoga, ndumilakuwili wamekuwa vipofu wa kuiruhusu sayansi ya nchini Mwao kuchukua ukanda Na instead sayansi ya nje ya nchi imepewa mustakabali mkubwa nchini.

Nchi hii inahitaji wanasiasa wasio angalia sura ya mtu Bali sura ya Taifa. CHADEMA wameonyesha kitu hii inawezekana labda waje badilika baadae. Chadema imejidhihirishia Kwamba inanguvu ya kujisafisha yenyewe bila kuangalia athari zingine. Jipu linaitwa jipu Na dawa Yake ni kulitumbua, maumivu yapo lakini lazima litumbiliwe tu.. Nikiangalia CHAMA HIKI, kimekuwa Na Historia ya Kuwa Na urafiki, mshikamano Na umoja Kwa viongozi wa kada mbalimbali Kwa Muda mrefu. Inapotokea Kiongozi wa kada yoyote anapoleta sumu au moto mgeni au nia chafu Kwa mustakabali wa Chama, hapo undugu na urafiki huwekwa pembeni kabisa Na kulishughulikia tatizo bila kuangalia sura ya mtu.. Ni ukomavu Na UJASIRI .

Kama Leo wanaume wanaadabishana kikamilifu hata kabla ya kushika dola Basi ni dalili njema Kwamba wababe Hawa wakishika Dola wembe utakuwa ule-ule. Elimu ya Tanzania haita letewa mcheZo Na watu wachache wasiokemewa, maliasili ya Taifa haita Kuwa Na watu wanaorushiana mpira Na hakuna wa kuwawajibisha, polisi hawata jichukulia sheria wazijuaZo kuwanyanyasa wananchi Na hakuna wa kuwasema .. Mie nawaza hivyo labda watu wa historia mnaweza kunipa changamoto nisiyoijua..!

Hivi kweli wewe ni engineer au engine kwa upande wa chadema. Ulichoongea hapa unachoona wewe kama engineer na siyo engine ya chadema ni kipi cha maana. Kunywa Maji ukalale ukue ukasomee uingeneer na siyo kuwa engine ya kutumika. Upo engine
 
Bihagaze, you pls continue to be a pastor hapo ufufuo na uzimakama chadema wangekuwa wanawajibishana, basi Mbowe angekuwa ameishaondoka siku nyingi sana.haujui siasa na Mungu hapendi unafikikama sio mnafiki basi wewe ni mjinga, yaani hajuii kinachoendelea nyuma ya pazia
 
Ni vigumu sana kuingia Kwenye mizania Za Siasa hasa unapochukulia siasa si Uhalisia wa wazi wa nadharia. Wataalam wa sayansi waliweka kanuni mbalimbali Mfano kanuni Za maeneo au mzingo wa kitu Na maisha yetu tunainjoy kutumia kanuni hizo Kwenye fani Za maisha.

Lakini Elimu ya Sayansi imedharaulika, kukanyagwa Na kutupwa Na Siasa Za wanasiasa wengi wa Africa ingawa ukweli uko pale pale Kwamba wote tunaihitaji sayansi ituendeashee maisha ya kila siku, Na Siasa iweke Mazingira mazuri ya sayansi kuoperate. Wanasiasa wanafiki, waoga, ndumilakuwili wamekuwa vipofu wa kuiruhusu sayansi ya nchini Mwao kuchukua ukanda Na instead sayansi ya nje ya nchi imepewa mustakabali mkubwa nchini.

Nchi hii inahitaji wanasiasa wasio angalia sura ya mtu Bali sura ya Taifa. CHADEMA wameonyesha kitu hii inawezekana labda waje badilika baadae. Chadema imejidhihirishia Kwamba inanguvu ya kujisafisha yenyewe bila kuangalia athari zingine. Jipu linaitwa jipu Na dawa Yake ni kulitumbua, maumivu yapo lakini lazima litumbiliwe tu.. Nikiangalia CHAMA HIKI, kimekuwa Na Historia ya Kuwa Na urafiki, mshikamano Na umoja Kwa viongozi wa kada mbalimbali Kwa Muda mrefu. Inapotokea Kiongozi wa kada yoyote anapoleta sumu au moto mgeni au nia chafu Kwa mustakabali wa Chama, hapo undugu na urafiki huwekwa pembeni kabisa Na kulishughulikia tatizo bila kuangalia sura ya mtu.. Ni ukomavu Na UJASIRI .

Kama Leo wanaume wanaadabishana kikamilifu hata kabla ya kushika dola Basi ni dalili njema Kwamba wababe Hawa wakishika Dola wembe utakuwa ule-ule. Elimu ya Tanzania haita letewa mcheZo Na watu wachache wasiokemewa, maliasili ya Taifa haita Kuwa Na watu wanaorushiana mpira Na hakuna wa kuwawajibisha, polisi hawata jichukulia sheria wazijuaZo kuwanyanyasa wananchi Na hakuna wa kuwasema .. Mie nawaza hivyo labda watu wa historia mnaweza kunipa changamoto nisiyoijua..!
Nitaikubali zaidi kama ajenda ya waraka itawekwa ili na Baraza liujadili. Na kuona ya kufanyia kazi na yapi pumba, na Baraza lihoji kwa nini mambo yapeende mahakamani na hatua za rufaa ziko wazi!
 
Bihagaze, you pls continue to be a pastor hapo ufufuo na uzimakama chadema wangekuwa wanawajibishana, basi Mbowe angekuwa ameishaondoka siku nyingi sana.haujui siasa na Mungu hapendi unafikikama sio mnafiki basi wewe ni mjinga, yaani hajuii kinachoendelea nyuma ya pazia
Nadhani ni mtazamo wangu tu juu ya kila nachokiona sidhani Kama unanihukumu Kwa mtazamo wa mawazo yangu.. Ila ukileta mawazo yako Nami nitayaheshimu Kama mawazo yako Na sio matusi Na kashfa. Sijui Watanzania Tumetoaawapi ujasiri wa kutukanana waziwazi Kwa jina la Siasa. ?!?
 
Bihagaze ona aibu

chadema ina katiba yake, kuwa kama mtu hataridhika na maamuzi ya kamati kuu , anakata rufaa baraza kuu ...yote within chadema

zitto kavuliwa uongozi na kuwa punished kabla hajasikilizwa

ndio jaji anasema "You can not jail him first and hear him later" - justice Utamwa

zitto akakata rufaa baraza kuu la chadema, rufaa ikapigwa teke, kisa asikilizwe kwanza na kikao kilichomhukumu

KATIBA HII WALIIWEKA WENYEWE NA WANAOIBOMOA NI WENYEWE

from no where cjui ndio uko rohoni unasema UNAWAKUBALI CHADEMA na usomi wako wote

acha hizo FOE member, tena ukae kimya umeishaharibu

kesi ile zitto alishinda kabla haijaanza kusikilizwa kwa tuliokuwa na akili zetu

sasa unaikubali kivipi huku iko so clear kuna matatizo ya uongozi
 
Back
Top Bottom