oosh! nkama mkeka umechanika ko inabid uwe mjanja ukisema huamin chuo saiz utaumiaSUA ili chelewa kutoa majina ya round ya pili nikijua nta pata apo.Majina kutoka sipo afu huku tayari washa funga udahili kwa round ya tatu

mi naona serikali isimamie haya
Lakini ufaulu wa o level ulikuwaje kwa masomo kama hisabati,kiswahili na kiingereza ndugu!?
Usikate tamaa bado kuna nafasi mbele ya safari. Anza na stashada (diploma) ukimaliza hiyo kwa ufaulu mzuri utasoma shahada. Pole sana na songa mbele badala ya kujilaumu
Hivi hii inakuwaje?
Wakati kuna HGL, HKL wana DDE na wamepata vyuo?
oosh! nkama mkeka umechanika ko inabid uwe mjanja ukisema huamin chuo saiz utaumia
maisha ndivo yalivo hayawez kua unavotaka ww kwa100% ila ni kwa anavotaka
Na jiona mjinga sana kwa kukosa chuo mwaka huu
Sio kwel...mung hakupanga pia ndg
Usikate tamaa bado kuna nafasi mbele ya safari. Anza na stashada (diploma) ukimaliza hiyo kwa ufaulu mzuri utasoma shahada. Pole sana na songa mbele badala ya kujilaumu
Na jiona mjinga sana kwa kukosa chuo mwaka huu
Kama na ufaulu wake wa o-level ulikuwa wa kawaida, kote ni shida kwakweli. lakini itategemeana na focus zake, kama ni afya ushindani uko juu sana hata diploma, vijana wengi wamekosaUsikate tamaa bado kuna nafasi mbele ya safari. Anza na stashada (diploma) ukimaliza hiyo kwa ufaulu mzuri utasoma shahada. Pole sana na songa mbele badala ya kujilaumu
naomba unijibu kwa uaminifu
BAM ( basic applied mathematics) una alama gani??
The sweetest girl!
Hakika! Asijilaum hata kidogo!
LABDA UCHANGUZI WA KOZI ULIKUA MBAYA HUKUANGALIA MINIMUM QUALIFICATIONS ZA KOZI ULIZOOMBA.