jmdume
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 317
- 302
Ni kweli sayansi kuna ushindani boss pia mwaka huu vijana wa pcb wamepasua sana hii inakua shida kwa hawa vijana wa cbg kupata kozi maana kila kozi ya cbg pcb anaingia.... Mpaka baadhi ya kozi za eng wanapiga afu kwa upande wa syansi pcb ni wengi zaidiWana kwambia cozi za sayansi vyuoni ni chache na zina ushindani sana.Mi kitu kinacho ni shangaza hizo kozi za arts ni nyingi sana na capacity yake ni kubwa sana lakini sayansi wana tubania
