Najihisi mjinga kukosa chuo

Najihisi mjinga kukosa chuo

sure i tell you mkuu. now kwenye CBG, PCB, CBA, ECA wanaangalia sana BAM aseeeeeeeee kama student akiivurunda huko ndo haya sasa.

Naomba ni kusahihishe apo mkuu sio kweli kwamba uki fail bam ndo hupati chuo nina mshikaji wangu ana CBG-DDC ila bam ana F kapata SUA forest
 
Pole.
Cbg wengi hii miaka miwili..na waliopata wamepata vitu tofauti kabisa na matarajio yao. Usife moyo mwakani utapata

. Usijione mjinga dogo watu wengi Sana wamekosa tangu ianze hii system ya kuapply direct chuoni
 
Pole sana,Jaribu Mwaka ujao,ukienda diploma utakuwa una bangaiza Sana.
 
Pole.
Cbg wengi hii miaka miwili..na waliopata wamepata vitu tofauti kabisa na matarajio yao. Usife moyo mwakani utapata

. Usijione mjinga dogo watu wengi Sana wamekosa tangu ianze hii system ya kuapply direct chuoni

Asante mkuu
 
Huu ufaulu wako mbona mzuri tu usife moyo mkuu utapata tu hata mwakani
Elimu haina mwisho
 
LABDA UCHANGUZI WA KOZI ULIKUA MBAYA HUKUANGALIA MINIMUM QUALIFICATIONS ZA KOZI ULIZOOMBA.
Mkuu ungeandika kwa herufi ndogo mbona ungeeleweka pia!
Au waonesha msisitizo kwenye hio "minimamu kwalifikesheni"?
 
Mwaka jana nimepata chuo round ya tatu ila tatizo la vijana wengi hawana taaluma ya uchaguzi wa kozi wanazopasa hivyo wengi hurundikana kuchagua kozi za aina moja ilihali competition iko juu hivyo wale matokeo ya kawaida wanaomba za kawaida wanapata mapema round ya kwanza tena zinakuwa priority ila wew ukija kustuka eti uzijaze tayar no vacant orbital
Ila nikusihi tafuta vyuo vya diploma hususan private anza shule au iyo ada ichukue uanze kuchakarika tu mapema mana hata huko mbele si kuzuri
 
Back
Top Bottom