Duuh umemtaja deception nikakumbuka mada zake, hivi yupo?Hhahaha hatari sana boss naona hapo kwenye AIDS unamzungumzia mtu mzima deception
Nimependa analysis yako imekaa poa sana na aya ya pili toka mwisho "kuna vilaza wa kila aina hadi wamepewa majina"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimefurahi Sana aiseee, hii Mada Kali Sana. Mwezi uliopita nilinunua Fulana ya JF, cha kushangaza nilipokwenda nayo mtaani na ofisini kila mtu alikua ananiangalia kwa Jicho la tofauti.
Huu ni mwaka wangu wa kumi (10), Nimekutana na Marafiki wengi Sana, very friendly Sana tu
Humu ndani wako akina Prof Tibaijuka, Mwapachu, mawaziri wenye akili na wasio na akili, wapo wapenda ngono, na tuna jukwaa letu kabisa la mambo ya Kikubwa, Yaani kuna Memba huwezi mkuta Popote pale zaidi ya jukwaa la mambo ya Kikubwa. Kuna jukwaa la Biashara, Ujasiriamali huko nako kuna fursa za kufa mtu, Ukitaka zile networking business Haya, bitcoin, Rifaro, Qnet, na akina Nani Yule wa Jangid Plaza, wapo.
Kwa kifupi Jf ina content zote Z Ukifika jukwaa la Afya, utashangaa watu wanabishana kuhusu uwepo wa AIDS Yaani ni facts tu. Unatamani au ukajilaumu Kwanini Ile mambo unaigonga kwa mpira wakati iko safe!
Njoo kwenye Siasa, kuna vilaza wakila aina, hadi watu wamebatizwa majina.
Ukianza kuandika kuhusu JF hutakaa uimalize
Kula like hiyo Mkuu kwa wema kabisa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwishoni unakutana na kisandukabisa mkuu, ukija kwenye gambling kuna experts wanajitolea kumfilisi muhindi utadhan wana undugu na wabetiji wakina Pdidy DeepPond etc
ukipigwa tungule mtafute mtaalam Mshana Jr
Fix na story za uongo utazipata kwa GuDume
pia Jf haiko nyuma sababu tuna mpaka wagonjwa wa akili wakina Deogratius Kisandu
hekoo JF
[emoji3] [emoji3] [emoji3] wgonjwa wa akili,!!!kabisa mkuu, ukija kwenye gambling kuna experts wanajitolea kumfilisi muhindi utadhan wana undugu na wabetiji wakina Pdidy DeepPond etc
ukipigwa tungule mtafute mtaalam Mshana Jr
Fix na story za uongo utazipata kwa GuDume
pia Jf haiko nyuma sababu tuna mpaka wagonjwa wa akili wakina Deogratius Kisandu
hekoo JF
sasa vizazi vya Fb na Insta haviwezi kuja kwa wingi huku vifuate Nini huku"" wkati members wa huu mtandao niwale watu ambao wameamua kuishi bila show off""Exactly JF is the home of great thinkers
hahaaa..eti kuna watu wapo kwenye jukwaa LA kikubwa na huwezi kuwakuta popote zaidi ya huko huko...daahhh ila kwli aisee...kuna jamaa mmoja hivi yeye huwa yupo kwenye jukwaa la jokes..yaani huwezi kumkuta katika jukwaa lolote lile tofauti na lile ""Nimefurahi Sana aiseee, hii Mada Kali Sana. Mwezi uliopita nilinunua Fulana ya JF, cha kushangaza nilipokwenda nayo mtaani na ofisini kila mtu alikua ananiangalia kwa Jicho la tofauti.
Huu ni mwaka wangu wa kumi (10), Nimekutana na Marafiki wengi Sana, very friendly Sana tu
Humu ndani wako akina Prof Tibaijuka, Mwapachu, mawaziri wenye akili na wasio na akili, wapo wapenda ngono, na tuna jukwaa letu kabisa la mambo ya Kikubwa, Yaani kuna Memba huwezi mkuta Popote pale zaidi ya jukwaa la mambo ya Kikubwa. Kuna jukwaa la Biashara, Ujasiriamali huko nako kuna fursa za kufa mtu, Ukitaka zile networking business Haya, bitcoin, Rifaro, Qnet, na akina Nani Yule wa Jangid Plaza, wapo.
Kwa kifupi Jf ina content zote Z Ukifika jukwaa la Afya, utashangaa watu wanabishana kuhusu uwepo wa AIDS Yaani ni facts tu. Unatamani au ukajilaumu Kwanini Ile mambo unaigonga kwa mpira wakati iko safe!
Njoo kwenye Siasa, kuna vilaza wakila aina, hadi watu wamebatizwa majina.
Ukianza kuandika kuhusu JF hutakaa uimalize
Master Plan ..kama vile nakujua...Hahahaaa...!U remind me of a certain whatsapp groupKaribu mgeni. Na wewe tayari ndio Mwana jf kama ukiwa kwenye public huwa unalog in humu itafika kipindi utaona nuksi na hiyo ID utabadilisha.