sawa watu8,nimekusikia...Kufunguka kuhusiana na kitu kunasaidia kupunguza msongamano wa mawazo na nilihitaji kusikia fikra za watu wengine na kusema kweli sijamtangazia chochote kwasababu hakuna any personal details here...This could happen to anybody and anywhere...Kwa hii thread naona unazidi kujirahisisha tu na kama kweli huyo mwanaume ana akili nzuri atajua kwa namna gani ambavyo humfai...
Kitu kidogo tu kama hicho tayari unakuja kukitangaza hapa jamvini...ni hivi bi mkubwa elewa jinsi mchezo wa mapenzi ulivyo...hapo hutakiwi tena...
Sio mara zote neno HAPANA huja kama lilivyo!!!
Ahsante!watu wenye vichwa vya panzi kama nyie ndo dawa yenu hiyo!na ilitakiwa akugonge kwanza ndo apotee,afadhali changu anatoa penzi kwa mtu ambaye anamuona wewe unajirahisisha kwa mtu ambaye hata sura huijui wewe ni zaid ya kahaba na huna akili.
Kufunguka kuhusiana na kitu kunasaidia kupunguza msongamano wa mawazo na nilihitaji kusikia fikra za watu wengine
na kusema kweli sijamtangazia chochote kwasababu hakuna any personal details here...This could happen to anybody and anywhere...
..Mwanzoni kila kitu kilikuwa shwari maongezi saa zote..tukaplan mpaka kuonana..kusema kweli nilikuwa na matumaini sana na furaha nimeshapata mwenza...
Ndio kashapenda hivyoo!hv wewe bado tu umekomaa na huyo mwanaume!? watu mna moyo!
Maybe I fell hard for him and fast..but thats a lesson to be learned..What is done is done I cant do anything about it right now,It obvious he doesn´t want me I get that!Wewe endelea na maisha yako, achana na habari za msongo wa mawazo....
Huwezi kumpenda tu mtu kiasi hicho kwa kusikia sauti yake, kuona texts zake au kuona taswira yake...
La hasha hiyo ni some sort of obsession, kitu ambacho si kizuri kwa afya ya ubongo...
Nami natambua kwamba hujaweka bayana habari zake...
Lakini najaribu kukumegea tu namna ambavyo sisi wanaume wengi tulivyo, huwa hatupendi habari zetu kutamkwa hovyo hadharani hata kama hukumtaja muhusika...
Kwa kitendo tu cha kuja hapa jamvini na kulalama kama mtete anayenyakuliwa kifaranga na mwewe, binafsi ninaweza kugundua u mwanamke wa namna gani...
Kumpenda mtu sio dhambi lakini namna ya reaction ulioyoionesha afterwards ndiyo yanitatiza mimi watu8...
[/COLOR]
Kwa maelezo hayo ambayo nimeyanukuu kama ulivyoyaandika, ni dhahiri hukuwahi kuonana na mtu huyo.
Mahusiano yenu yalichagizwa zaidi na njia ya mawasiliano as you mentioned ilikuwa ni text messaging na voice...
Sasa bi mkubwa kama mawasiliano tu mlikuwa mwafanya pasipo kuonana, usishangae sana namna ya kibuti ambacho mwanaume huyo kaamua kukupiga...
teh teh teh kbongobongo kizaz cha sasa(langa,witness,shaa)KISWANGLISH ndo mpango,so mambo ya semantic,morphology na pronounciation nayapata poa na kuna makosa ya makusud ktk uandish(droping some letters deliberately*in poem n poetic license na kmtaa kiswanglish.upoLol its called Physical appearance!nenda kajifunze kuandika kwanza!
We utakuwa ni mmbaya kwa sura kuliko alivyotegemea.... Maana kuna wengine mna visauti ka Wema Sepetu, lakini mna sura za yule demu wa Dudu Baya, kwenye hivyo hivyo nakupenda tuuu....Nimetokea kumpenda sanaaaa kaka mmoja hapa jamiiforums!
Kusema kweli tulikuwa marafiki mwanzo ila yeye akasema ametokea kuvutiwa na maongezi yetu na ananipenda and blah blah blah..nikawa nasita sana kwasababu najua niko mbali nae na mambo ya long distance ni matatizo (kama walivyosema wahenga fimbo ya mbali haiuwi nyoka) lakini kwasababu alisisitiza sana anahitaji kuwa na mm nikaona kwanini nisijaribu kumpa nafasi japo nilishaumziwa sana mwanzo..
Huyo mtu kwa maelezo yake ni mgane na ana watoto wawili...Mwanzoni kila kitu kilikuwa shwari maongezi saa zote..tukaplan mpaka kuonana..kusema kweli nilikuwa na matumaini sana na furaha nimeshapata mwenza...
Ikatokea ishu kwamba alikuwa na matatizo ya network ya sim kitu ambacho kinaeleweka mawasiliano yakaanza kuyumba ila net alikuwa nayo lakini hakuona kama njia ya mawasiliano...Sasa kinachoendelea ni kwamba tangia tarehe 4 mwezi huu kapotea...namuona watsapp na naona anapata ujumbe wangu lakini hanijibu..na pia nilimuona facebook minamo tar 6...lakini mimi mawasiliano nae sina kwasababu hapokei simu zangu,hajibu sms zangu na sijui pakumpata..na ameniblock watsapp leo hii coz nimeshafanya uchunguzi na nimegundua kwamba ameniblock! Nakaa nikijiuliza nimemkosea nini kustahiki kutendewa hivi sielewi!kama hawezi kuwa na mimi kwanini haniambii kwamba hanitaki?kama hana mawasiliano mbona namuona online?
Sikujua kama watu wengine wamenyimwa ustaarabu kiasi hiki! Sio siri nimempenda na kumuamini sana huyu mkaka lakini naona kaniachia donda kubwa sana moyoni mwangu maana hata sielewi nimuweke fungu gani najiona -------- nilopindukia kujirahisisha na kumuamini mtu nisomjua! Au sijui ni mimi ndio na overreact na kumfatilia sana?
Nisaidieni jamani nahisi kuchanganyikiwa si ndo wendawazim huu mungu wangu!
We utakuwa ni mmbaya kwa sura kuliko alivyotegemea.... Maana kuna wengine mna visauti ka Wema Sepetu, lakini mna sura za yule demu wa Dudu Baya, kwenye hivyo hivyo nakupenda tuuu....
We utakuwa ni mmbaya kwa sura kuliko alivyotegemea.... Maana kuna wengine mna visauti ka Wema Sepetu, lakini mna sura za yule demu wa Dudu Baya, kwenye hivyo hivyo nakupenda tuuu....
Ooh yeah that's my guess too...you were too fast and he became furious!!!Maybe I fell hard for him and fast..but thats a lesson to be learned..
Of course huna cha kujutia rafiki...sio kila mara huwa tunavipata vile tuvitakavyo...vingine vipo juu sana na huwa tunavipata pindi vinapodondoka tu!!!What is done is done I cant do anything about it right now,It obvious he doesn´t want me I get that!
Hii huwakuta wadada wengi nawe sio wa kwanza...He was a good friend who was there when I needed someone to talk to,and thats how it developed feelings between us..
Ahsante na nashukuru kwa ushauri wako although haikuwa exactly kama ilivyo kwenye fikra zako....Dada yetu labda kwa sababu ulimzungusha kidogo mwishowe ulipokuja kumkubalia mwingine fastafasta alikuwatayari ameshachukua nafasi, naye akashindwa kukwambia waziwazi. Lakini kwa matendo yake nafikiri utakuwa umekwishaelewa nini kinaendelea. Pole sana.
Noooo sisteri cheriefrance........ sichekeshi, ila nakupa makavu live ujiangalie.... AU PENGINE UMEKUWA NA AMEKUONA MAHARAGWE YA MBEYA....
ha ha ha watu wengine wanachekeshaje!At least u made me laugh...[/SIZE][/SIZE]
Ooh yeah that's my guess too...you were too fast and he became furious!!!
Of course huna cha kujutia rafiki...sio kila mara huwa tunavipata vile tuvitakavyo...vingine vipo juu sana na huwa tunavipata pindi vinapodondoka tu!!!
Hii huwakuta wadada wengi nawe sio wa kwanza...
Kuna wanaume wameumbwa na hulka ya kujali sana na mwanamke usipokuwa makini unaweza ukadhani umependwa kumbe si kweli...
Sasa pengine huyo kaka mkubwa aliona kuna mipaka inayovukwa na ndio maana akajiweka pembeni ili walau uelewe ni aiana gani ya mahusiano anayoyataka baina yenu.
Una ushauri mzuri sana watu8! Take that as a compliment! Kuhusu hilo suala la kupenda alitamka kuwa ananipenda labda kama hakumaanisha aliyoyasema mimi siwezi kujua!But i was honest and sincere about my feelings towards him...And he assured me so much he was different...Ooh yeah that's my guess too...you were too fast and he became furious!!!
Of course huna cha kujutia rafiki...sio kila mara huwa tunavipata vile tuvitakavyo...vingine vipo juu sana na huwa tunavipata pindi vinapodondoka tu!!!
Hii huwakuta wadada wengi nawe sio wa kwanza...
Kuna wanaume wameumbwa na hulka ya kujali sana na mwanamke usipokuwa makini unaweza ukadhani umependwa kumbe si kweli...
Sasa pengine huyo kaka mkubwa aliona kuna mipaka inayovukwa na ndio maana akajiweka pembeni ili walau uelewe ni aiana gani ya mahusiano anayoyataka baina yenu.
Usife moyo dada yangu kipenzi, kwakuwa huyo ulimpata hapa hapa nina imani yupo mwingine aliyebora kuliko huyo atakuja siku si nyingi na utanmsahau wa kwanza.Ahsante na nashukuru kwa ushauri wako although haikuwa exactly kama ilivyo kwenye fikra zako....
Haipo kama unavyofikiria wewe sasa....Noooo sisteri cheriefrance........ sichekeshi, ila nakupa makavu live ujiangalie.... AU PENGINE UMEKUWA NA AMEKUONA MAHARAGWE YA MBEYA....
Wanaume tupo hivi......
1. Ukinizungusha saaanaaaa... jua unanijengea matarajio makubwa sana kwamba, shingo ya upanga, mguu wa kilimanjaro mwanamke nyonga, kipua mchongoko, vidodo vya kushikwa kwa uzuri, mahips ya kuniinua dirishani, kiuno dondola, ....... SASA NIKIJA KUKUONA NIKAONA UPO TOFAUTI NA IMANI ULIYONIJENGEA... lazima nile kona....
2. Ukinikubali ghafra bin vuuu... yaani hata sijamaliza mistari, we ushakubali... NITAONA HAPANA.... huyu atakuwa anao anataka kunipaka nao.... na hapo kwenye kuniapaka nao, jua si ukimwi tu, bali gono, pangusa, malengelenge, kisonono, kaswende etc etc... Kwa hiyo jiangalie na spidi zako hizo za kukubali haraka haraka....
Weeee mbona nimekoma nimpate mwengine hapa thubutu yako...Usife moyo dada yangu kipenzi, kwakuwa huyo ulimpata hapa hapa nina imani yupo mwingine aliyebora kuliko huyo atakuja siku si nyingi na utanmsahau wa kwanza.
Binadamu tusingeumbwa kusahau dunia isingekalika.
Ahsante!