cheriefrance
Senior Member
- Jun 5, 2013
- 134
- 40
Naijua sura yake kumblock sio tatizo ila tatizo moyo wangu umeanguka kwake!. Yaani unaumia kwa ajili ya mtu ambaye hata sura yake huijui?
Si umblock tu fb, whatsapp na jf??
Mapenzi ni zaidi ya kugegedana!Hajakugegeda unalalama nini? Akunyimae mbaazi . . .
Kusema kweli inaniuma sana kwasababu he is so educated and matured hata siamini kama anaweza kufanya such a childish thing!Sielewi ananufaika na nn mimi nikiteseka kusema kweli ningemuelewa angesema hataki kuwa na mimi kuliko anavyofanya!Its not fair wallahi!Nakaa najiuliza why?sipati jibu nimemuomba hata msamaha japo sijui kosa langu!Wanaume wa aina hiyo ambao hawana confidence JF wamejaa kibao. Inawezekana kukaa kimya ndio ameona njia pekee ya kukwambia kuwa its over. Lakini mm naona ni ushamba, na immaturity. Ukiamua kuingia kwenye relationship na mtu yeyote wa JF, usijiachie anything can happen at any time, t.
Pole mdogo wangu, ndio maisha. Mshukuru MUNGU ameamua kukimbia mapema, mwingine angekuachia VVU.
. Yaani unaumia kwa ajili ya mtu ambaye hata sura yake huijui?
Si umblock tu fb, whatsapp na jf??
AhsanteAnaumia moyoni, alikuwa kafall na sura na sauti na meseji.
Mioyo hii inabidi kuinunulia rimoti.
Haimati but thanks for your concern abt that!Pole zako nyingi sana, ID yako ya siku zote ni ipi!?
kusema kweli ningewapenda watoto wake kama wangu i love children,i would help him raise them!Nadhani Amepata ushauri kuhusu hatima ya watoto wake. Nyi wanawake hamna mapenzi kwa watoto wa kufikia
Haimati but thanks for your concern abt that!