Najihisi kuchanganyikiwa....

Najihisi kuchanganyikiwa....

cheriefrance

Senior Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
134
Reaction score
40
Nimetokea kumpenda sanaaaa kaka mmoja hapa jamiiforums!

Kusema kweli tulikuwa marafiki mwanzo ila yeye akasema ametokea kuvutiwa na maongezi yetu na ananipenda and blah blah blah..nikawa nasita sana kwasababu najua niko mbali nae na mambo ya long distance ni matatizo (kama walivyosema wahenga fimbo ya mbali haiuwi nyoka) lakini kwasababu alisisitiza sana anahitaji kuwa na mm nikaona kwanini nisijaribu kumpa nafasi japo nilishaumziwa sana mwanzo..

Huyo mtu kwa maelezo yake ni mgane na ana watoto wawili...Mwanzoni kila kitu kilikuwa shwari maongezi saa zote..tukaplan mpaka kuonana..kusema kweli nilikuwa na matumaini sana na furaha nimeshapata mwenza...

Ikatokea ishu kwamba alikuwa na matatizo ya network ya sim kitu ambacho kinaeleweka mawasiliano yakaanza kuyumba ila net alikuwa nayo lakini hakuona kama njia ya mawasiliano...Sasa kinachoendelea ni kwamba tangia tarehe 4 mwezi huu kapotea...namuona watsapp na naona anapata ujumbe wangu lakini hanijibu..na pia nilimuona facebook minamo tar 6...lakini mimi mawasiliano nae sina kwasababu hapokei simu zangu,hajibu sms zangu na sijui pakumpata..na ameniblock watsapp leo hii coz nimeshafanya uchunguzi na nimegundua kwamba ameniblock! Nakaa nikijiuliza nimemkosea nini kustahiki kutendewa hivi sielewi!kama hawezi kuwa na mimi kwanini haniambii kwamba hanitaki?kama hana mawasiliano mbona namuona online?

Sikujua kama watu wengine wamenyimwa ustaarabu kiasi hiki! Sio siri nimempenda na kumuamini sana huyu mkaka lakini naona kaniachia donda kubwa sana moyoni mwangu maana hata sielewi nimuweke fungu gani najiona -------- nilopindukia kujirahisisha na kumuamini mtu nisomjua! Au sijui ni mimi ndio na overreact na kumfatilia sana?

Nisaidieni jamani nahisi kuchanganyikiwa si ndo wendawazim huu mungu wangu!
 
Wanaume wa aina hiyo ambao hawana confidence JF wamejaa kibao. Inawezekana kukaa kimya ndio ameona njia pekee ya kukwambia kuwa its over. Lakini mm naona ni ushamba, na immaturity. Ukiamua kuingia kwenye relationship na mtu yeyote wa JF, usijiachie anything can happen at any time, t.

Pole mdogo wangu, ndio maisha. Mshukuru MUNGU ameamua kukimbia mapema, mwingine angekuachia VVU.
 
Wanaume wa aina hiyo ambao hawana confidence JF wamejaa kibao. Inawezekana kukaa kimya ndio ameona njia pekee ya kukwambia kuwa its over. Lakini mm naona ni ushamba, na immaturity. Ukiamua kuingia kwenye relationship na mtu yeyote wa JF, usijiachie anything can happen at any time, t.
Pole mdogo wangu, ndio maisha. Mshukuru MUNGU ameamua kukimbia mapema, mwingine angekuachia VVU.
Kusema kweli inaniuma sana kwasababu he is so educated and matured hata siamini kama anaweza kufanya such a childish thing!Sielewi ananufaika na nn mimi nikiteseka kusema kweli ningemuelewa angesema hataki kuwa na mimi kuliko anavyofanya!Its not fair wallahi!Nakaa najiuliza why?sipati jibu nimemuomba hata msamaha japo sijui kosa langu!
 
Dunia imeisha sasa vituko vimezidi mno kila kukicha kwanza mitaani hawakutokei.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Nadhani Amepata ushauri kuhusu hatima ya watoto wake. Nyi wanawake hamna mapenzi kwa watoto wa kufikia
 
Hahaha eti kuchanganyikiwa.
Alisema ni mjane? Kabanwa huyo, in a month atakuja na excuses kibaao ooh nilienda abroad nikaacha simu sijui nini.

Kata mti panda miti. Si upende id ingine? Lol.
Mkwe Husninyo mekumiss.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ,kuwa na subira huenda atakwambia kitu gain kimemsibu
 
Mmmmmmmmmh!!!!!!!!!!!

Nakuhurumia ila COME ON!!!!!!!!!!! Jifunze mapenzi ya kiutu uzima!! NO STRINGS ATTACHED ! Does it ring a bell?

Najua coz keshakufuna you feel like he owes you (atleast an explanation) na nini but it doesnt work that way! Just let it go! Thinking on the bright side zubeda hajaondoka nayo! (Its not a laughing matter, you should be ashamed of yourselves!)

Mapenzi ya utuuzima ni very complex, next time do it for fun! Dont invest your heart dear ! The sooner you go digital relationship, the better for your heart.

And writting this thread WAS DEFINITELY A WORSE IDEA EVER!!!!!!!!!!! HE WILL SEE HOW DESPERATE AND NAIVE HE HAS MADE YOU! And its not good at all!

Ill be going now, hope you learned a lesson the hard way!
 
Back
Top Bottom