Najiandaa kufumania kesho au keshokutwa. Nawaza adhabu mbalimbali za kutoa

Jamaa una nyota ya kwenda segerea.
Utafungwa na utamuacha mkeo uraiani aliwe vizuri tu na bodaboda.
 
Huyu anayemtongoza mke wangu kila siku alikuwa jamaa yangu wa karibu, nilisoma naye O-Level kisha nikaja fanya naye kazi. Alikuwa karibu hivyo haikuwa ngumu mimi kumpa namba ya mke wangu.

Hasa sababu mke wangu ana wivu sana so sometimes nikitaka kutoka namwambia jamaa ampigie wife amwombe kuwa tunatoka wote.

Jamaa alianza kumsifia sifia wife kama utani baadaye nikakata kabisa ukaribu naye nilipoona anazidi sana kutaka ukaribu. Mwishowe akaanza mwambia wife kuwa mimi nina diversions nyingi sana, si mwaminifu.

Akaendelea na kuanza tuma texts za mapenzi n.k wife akawa ananionesha. Sasa ameomba kabisa game na anaomba iwe kesho au kesho kutwa yeye atakuwa free aende na wife popote atakapo.

Nimemwambia wife akubali, wamepanga kila kitu na jamaa katuma 50,000 ya uber ili wife asitumie gari yake.

Sasa nawaza adhabu ya kwenda mpa jamaa. Maana ile 50,000 yake na nyingine nitakodisha watu watatu. Tutaenda sehemu hiyo, nataka nimfanye kitu ambacho yaani akija sikia kuwa mwanamke ameolewa awe anakimbia huku analia kabisa.

Sitaki polisi wala nini, naombeni msaada wenu. Adhabu ya kufaa kabisa. Sitaki muua, nataka aishi akijutia jambo hilo milele. Nyie si mnaona sisi tuliooa hatuna maana? Basi haina shida...wallah atasimulia maana ntamwachia ulimi ili aweze simulia wenzie.

Nisaidieni ushauri wa Adhabu, sitaki maneno ya sijui polisi, sijui ushauri nasaha. Nataka Ushauri wa adhabu ya kufaa hasa ili iwe fundisho na kwa wengine.
Mkuu nakushauri huo mtego achana nao,,
yanaweza kukukuta makubwa mkuu,,
Yupo jamaa kama wewe alipanga fumanizi na mkewe,,
siku ya tukio,,,,simu ya jamaa network error,,,simu zake hazipatikani,,si unajuwa mitandano mkuu,,,
Basi akachelewa eneo la tukio bila kujuwa mkewe na mgoni wake wameelekea chumba na hotel gani,,
Network kukaa sawa,,wanawasiliana na mkewe,,
kumbe kishachelewa,,
Jamaa anakuta mkewe yupo uchi kitandani ,,katanua miguu huku kawasha feni fully speed ,analia,,
,anasema mume wngu umeniponza,,nilikwambiya nikatae,,jamaa kaniumiza sn..huku nyuma,,,
Kkkkkk..
Omba MUNGU Simu isizime,,wala network isisumbuwe,,
 
hiyo kiboko kuna jmaa wanafumua mpaka mke anawasha feni, huyo mke ataomba tena marudio kwani kanogewa
 
Huyu anayemtongoza mke wangu kila siku alikuwa jamaa yangu wa karibu, nilisoma naye O-Level kisha nikaja fanya naye kazi. Alikuwa karibu hivyo haikuwa ngumu mimi kumpa namba ya mke wangu.

Hasa sababu mke wangu ana wivu sana so sometimes nikitaka kutoka namwambia jamaa ampigie wife amwombe kuwa tunatoka wote.

Jamaa alianza kumsifia sifia wife kama utani baadaye nikakata kabisa ukaribu naye nilipoona anazidi sana kutaka ukaribu. Mwishowe akaanza mwambia wife kuwa mimi nina diversions nyingi sana, si mwaminifu.

Akaendelea na kuanza tuma texts za mapenzi n.k wife akawa ananionesha. Sasa ameomba kabisa game na anaomba iwe kesho au kesho kutwa yeye atakuwa free aende na wife popote atakapo.

Nimemwambia wife akubali, wamepanga kila kitu na jamaa katuma 50,000 ya uber ili wife asitumie gari yake.

Sasa nawaza adhabu ya kwenda mpa jamaa. Maana ile 50,000 yake na nyingine nitakodisha watu watatu. Tutaenda sehemu hiyo, nataka nimfanye kitu ambacho yaani akija sikia kuwa mwanamke ameolewa awe anakimbia huku analia kabisa.

Sitaki polisi wala nini, naombeni msaada wenu. Adhabu ya kufaa kabisa. Sitaki muua, nataka aishi akijutia jambo hilo milele. Nyie si mnaona sisi tuliooa hatuna maana? Basi haina shida...wallah atasimulia maana ntamwachia ulimi ili aweze simulia wenzie.

Nisaidieni ushauri wa Adhabu, sitaki maneno ya sijui polisi, sijui ushauri nasaha. Nataka Ushauri wa adhabu ya kufaa hasa ili iwe fundisho na kwa wengine.
Ingekuwa walikubaliana wenyewe kisha ukagundua kwa mbinu zako ungekuwa na haki ya kumuadhibu. Lakini kwa suala hili ambalo mkeo amemchuuza ili kujijenga kwako usithubutu kumtenda vibaya huyo rafiki yako.

Hili si fumanizi ila ni njama zenye unafiki.

Iko siku utajua kuwa mkeo anatembea na watu wengine nje ila kwa sababu anawathamini aliwakubalia ila huyo rafikiyo kwa kuwa alimdharau akaona amtumie kupata credit kwako.

Be careful na unafiki wa wanawake.
 
Kama ulimuambia mkeo akubali basi ujue nawe umetongozwa na umekubali. Wote mtaenda kutinduliwa tu.

Acha upuuzi wa kijinga. Unajitafutia matatizo. Na hapa yeye mwenyewe ameshasoma na kaandaa majeshi yake. Shauri yako.
 
Mkuuu.... Tupe mrejesho je nawewe ulishiriki kufumua Malinda mkeo akiangalia mubashara
 
Huyo mkeo Ni bure kabisa!keshafikiria matokeo ya Hilo fumanizi?ukipandwa na hasira ukamfanyia jamaaa vitu vinavyoweza umauti yupo tayari kuishi bila mume wakati mume anatumikia kifungo Isanga?Na vipi aibu yake tu Kama mke kajiandaaje kukabiliana nayo?
 
Mkuuu.... Tupe mrejesho je nawewe ulishiriki kufumua Malinda mkeo akiangalia mubashara
Alisema kesho au kesho kutwa, basi tuamini ni kesho kutwa take ambayo ni kesho Sasa. Naamini atakuja.

Ila ushawaza vipi jamaa akimbadilishia location, yaani mwanamke anafika na Uber mfano Sinza afu jamaa anambeba kwenye gari anampeleka Mnazi mmoja. Mwanamke aweza watamtumia jamaa atakuta manyoya tu.
 
be a real man...labda nikwambie tuu....jamaa keshamla mkeo......so huo upuuzi utakukost wewe....ongea na mke wako muyaweke sawa.....jamaa mpotezee........nasema hivi amini mke wako ni wako PEKEE.....utafurahia baraka za MUNGU.....
 
Huyu anayemtongoza mke wangu kila siku alikuwa jamaa yangu wa karibu, nilisoma naye O-Level kisha nikaja fanya naye kazi. Alikuwa karibu hivyo haikuwa ngumu mimi kumpa namba ya mke wangu.

Hasa sababu mke wangu ana wivu sana so sometimes nikitaka kutoka namwambia jamaa ampigie wife amwombe kuwa tunatoka wote.

Jamaa alianza kumsifia sifia wife kama utani baadaye nikakata kabisa ukaribu naye nilipoona anazidi sana kutaka ukaribu. Mwishowe akaanza mwambia wife kuwa mimi nina diversions nyingi sana, si mwaminifu.

Akaendelea na kuanza tuma texts za mapenzi n.k wife akawa ananionesha. Sasa ameomba kabisa game na anaomba iwe kesho au kesho kutwa yeye atakuwa free aende na wife popote atakapo.

Nimemwambia wife akubali, wamepanga kila kitu na jamaa katuma 50,000 ya uber ili wife asitumie gari yake.

Sasa nawaza adhabu ya kwenda mpa jamaa. Maana ile 50,000 yake na nyingine nitakodisha watu watatu. Tutaenda sehemu hiyo, nataka nimfanye kitu ambacho yaani akija sikia kuwa mwanamke ameolewa awe anakimbia huku analia kabisa.

Sitaki polisi wala nini, naombeni msaada wenu. Adhabu ya kufaa kabisa. Sitaki muua, nataka aishi akijutia jambo hilo milele. Nyie si mnaona sisi tuliooa hatuna maana? Basi haina shida...wallah atasimulia maana ntamwachia ulimi ili aweze simulia wenzie.

Nisaidieni ushauri wa Adhabu, sitaki maneno ya sijui polisi, sijui ushauri nasaha. Nataka Ushauri wa adhabu ya kufaa hasa ili iwe fundisho na kwa wengine.
babycare
 
Huyu aliyefungwa maisha leo kwa kosa la kumtindua rinda mgoni wake na kurekodi mkanda wa video ndio wewe?
 
Hakikaa wewe upo kwenye kundi la wapotofu!mwezako Jana walimnajisi walio mfumani wamekula nondo za maisha,na mke bado ataliwa tu.tumia busara mwambia jamaa yako umejua anachofanya na aache Mara mojaa
 
Mpe adhabu ya Kisaikolojia(Psychological touchering),yaani unamfumania then humfanyi kitu,unamsehe tu,ikiwezekana mnunulie na msosi kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom