Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
agriii... Mie, nadhani mtambo aaah! Usijali utapa ila kaza tu usilegeze banaaa..
shauri yako, we cheka tu....mwenzio aliombwa uroda na Human Resource Manager wakati anatafuta kazi, si akakimbiliaa
kulalamika kwa Generala Manager.. alichojibiwa..."How manya times have you offered sex for pleasure, leo unataka kazi hutaki kutoa?"...kalaghabaho, koma Mwanangu kazi zipo tu, Mungu mkubwa
Peleka physically usiapply online, na mimi nilikuwa na tatizo kama lako lakini nilivyoanza kupeleka physically nikaanza kuitwa
ulijua mtambo wa gesi umezima mtwara??Nilijua mtambo mwingine kumbe ni hiv!