Madam zero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 221
- 18
Ni mm au na wenzangu???nimeapply kazi ya records management ngazi ya diploma katika mitandaowanayotangaza kazi zaidi ya mara 20 lakini siitwi hata kwenyeinterview moja ,,najiuliza sina vigezo au ni nini haswa mana ninatuma kazi nikiwa na vielelezo vyote vyakua na sifa ya kuipata lakini sipati mweeee