Naiweka wapi sura yangu?

Naiweka wapi sura yangu?

Sura yako baki nayo usiiweke popote,ila jiulize kwanini wanakwita shoga. Ukishapata jibu anzia hapo hapo.
 
Mtaani wananita shoga hadi maeneo nayofanyia kazi, shule niliyomaliza kisa nimendelea kiuchumi halafu ni mtoto wa miaka 18.

Wanajua nafanya kazi lakini wanasema kazi yangu ya kuweka nyimbo kwenye flash haina hela mi hela natoa wapi wakati mi hela napata kwenye biashara yangu.

Ushauri nifanyeje

Zaidi ya utajiri wako, kipi kingine kinachowafanya wakuite shoga?, Uzuri wako?, Kuongea kwako?, umbo lako, hawajakuona na Mademu?
 
Mkuu hebu weka picha yako kwanza tuilinganishe na maneno wanayosema isije ikawa ni kweli..
Mana siku kuna wavulana wana share vipodozi na dada zao.
 
Iweke Avatar Jf, ila apo ulipojiita 'mtoto' napata walakini kidogo
 
Mtaani wananita shoga hadi maeneo nayofanyia kazi, shule niliyomaliza kisa nimendelea kiuchumi halafu ni mtoto wa miaka 18.

Wanajua nafanya kazi lakini wanasema kazi yangu ya kuweka nyimbo kwenye flash haina hela mi hela natoa wapi wakati mi hela napata kwenye biashara yangu.

Ushauri nifanyeje
Hapa kuna lililofichika zaidi ya hayo maelezo. Sijawahi sikia mtu akipata mafanikio ktk umri mdogo aitwe shoga.

Hapa sababu za msingi zilizopelekea kuitwa shoga. Ni vema ungesimulia vizuri kama sio promo.
 
da70a07863f8210d82af7f0bdc08ab93.jpg
Una mwonekano wa kimchelemchele cheki hilo form 6 uliyovaa na huo mkono ulivyo nyororo na mdogo ka wa demu
 
"Lisemwalo lipo!"
Jichunguze tabia zako... Watu hawawezi kukuita shoga tu bila sababu! Mbona huku kwetu kuna madogo wanamafanikio na hatujui wana mishe gani, lakini hamna anaewaita mashoga!
 
Back
Top Bottom