Naitwa Tundusami mgeni nipokeeni

Naitwa Tundusami mgeni nipokeeni

Huyu arudi tu, akajipange upya bwashee .
Bwashee huyu ndio ameshajipanga hivyo,ndio maana kaingia humu,
si amesema kua yeye ni wa muda mrefu,

Yani hapo yupo full package ndio maana akaingia humu,
Unapomsahihisha anaweza tu kukushangaa na kuona kua wewe ndio unakosea uandishi.
 
Makosa huwa yapo bwashee , ila haya ya kwake kwa jinsi yalivyo mengi itashangaza sana kama atakuwa mtanzania🤔
 
Back
Top Bottom