Naitwa Tundusami mgeni nipokeeni

Naitwa Tundusami mgeni nipokeeni

Karibu sana... Kama wewe hata humu wapo
 
Asa❌
Sasa✅

Umu❌
Humu✅

Mana❌
Maana✅

Ndo❌
Ndio✅

Ivyo❌
Hivyo✅

Zinavutiaga❌
Zinavutia✅

Nashindwaga❌
Nashindwa✅

Nilikuaga❌
Nilikua ✅
Mambo ya mzee kifimbo cheza haya, bado kidogo tu tuanze kuchapwa viboko humu ndani.
 
Mbona mnamkaribisha mgeni kama mnamsuta tabia gani hiyo?? 😹😹

Mwaya mgeni karibu jisikie uko nyumbani, ukiwa mpole humu utatukanwa mpaka na sisimizi..!!
 
Karibu sana mkuu japo naona una chembe chembe za unafiki,
kwanini ujiite tundusamia! au wewe ni sigara nyota?
 
Back
Top Bottom