adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,616
Jamaa aliaribikiwa na gari usiku ikambidi aende nyumba ya jirani na hapo kuomba hifadhi ya kulala.
Mama mwenye nyumba akamshauri mumewe kwamba sababu chumba hamna mgeni alale na baby!
Jamaa akakurupuka hapana me talala hapa sebleni!akiogopa kulala na baby usiku atamkojolea kitandani!...
Ilipofika asubuhi chumbani anatoka demu mkali anamsalimia mambo naitwa baby we unaitwa nani????
Jamaa likajibu naitwa fala!!!!!!!!
Hahahahaha