Anthony Paschal
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 513
- 12
Kama mada invyojieleza,naitaji screen ya samsung nchi 32 mimi yangu inainyesha nusu picha ,mafundi wanasema imekufa screen kwa aliyo nayo tuongee biashara,asanteni
Kama upo dar ni inbox simu yakoKama mada invyojieleza,naitaji screen ya samsung nchi 32 mimi yangu inainyesha nusu picha ,mafundi wanasema imekufa screen kwa aliyo nayo tuongee biashara,asanteni