naitaji primio au spacio kwa m6

naitaji primio au spacio kwa m6

suzyo

Member
Joined
Aug 26, 2008
Posts
24
Reaction score
2
primio isiwe d4
cc less than 1900
isiwe na vvti
iwe imetembea chini ya km 100000

spacio ni ile ya kizamani
cc1600 kushuka chiniless than 100000

call 0753503999
 
Mkuu ukipata na mimi nishtue, mahitaji yangu na mimi ni hayo hayo.

Ubarikiwe sana
 
naona wadau wapo kimya kaka ngoja tusubiri tuona
 
gari zipo lakini bei ndio tatizo ndugu zangu ipo chini
 
gari zipo lakini bei ndio tatizo ndugu zangu ipo chini
zipo gari gani weka hapo na price zake na full information sio lazima mimi tu ninunue utapata watu wengine tukishindwana bei
 
kuna sehemu niliona the same price lakini ni kwa Ipsum ile ya zamani vipi hapo?
 
kuna sehemu niliona the same price lakini ni kwa Ipsum ile ya zamani vipi hapo?
kwa mimi ipsum hapana mimi ikiwa spacio au primeo itakua poa lakin kuna mdau mwingine alisema ana m6 atakuwa amekusoma labda anaweza kukubali ipsum
 
primio isiwe d4
cc less than 1900
isiwe na vvti
iwe imetembea chini ya km 100000

spacio ni ile ya kizamani
cc1600 kushuka chiniless than 100000

call 0753503999

Mkuu,
Kwa milioni 6 ni ngumu kiasi kupata gari yenye mwendo huo wa RED. Ukiipata basi itakuwa imechakachuliwa. Za mwendo wa zaidi ya hapo zipo na zinatangazwa sana kwa jukwaa hili hili
 
Back
Top Bottom