Kassym
Member
- Dec 2, 2018
- 6
- 9
Nahitaji Spacio kwa milioni saba (7,000,000).
Vigezo;
1) Iwe imetembea chini ya KM 100,000
2) Isiwe na shida ya aina yoyote kiufundi wala namna nyingine.
3) Full AC
4) Ukinitafuta hakikisha documents za gari zina jina lako.
5) Ikiwa na namba DF na kuendelea itanishawishi zaidi.
Kama unayo nicheki hapa au PM unipatie picha.