Naitaji mafunzo ya Adobe premiere

Naitaji mafunzo ya Adobe premiere

kachonjo

Senior Member
Joined
May 25, 2018
Posts
161
Reaction score
197
Nipo ubungo River side . naitaji mtu ataye nipa mafunzo ya kutumia Adobe Photoshop Na Adobe premiere.

Nita fidia mda wake Kwa pesa tutayo kubalia kutokana Na mafunzo ..

Kwa yoyote mwenye kujua kutumia vizur izi program anisaidie
 
Nipo dodoma kwa sasa kikazi, kama huna haraka nitafute baada ya siku 5
 
Nipo Mabibo Hosteli,weka dau nikutie Pindi!
 
weka dau nikutie pindi.. hapa kwenyewe na edit video ya harusi tulioshoot j mos na usiku nina send off nashoot
Hivi mkuu kuwa mtaalamu kama wewe unakuta umesomea IT au
 
Nipo ubungo River side . naitaji mtu ataye nipa mafunzo ya kutumia Adobe Photoshop Na Adobe premiere.

Nita fidia mda wake Kwa pesa tutayo kubalia kutokana Na mafunzo ..

Kwa yoyote mwenye kujua kutumia vizur izi program anisaidie
Ingia youtube utakuta mafunzo free of charge, google udemy utakuta top instructors wa hiyo field kwa dola 11 tu...
 
Back
Top Bottom