Parata JF-Expert Member Jul 26, 2011 3,090 675 Sep 3, 2012 #1 wakubwa naitaji link za kucheki mpira au kama kuna software alinazo anaweza nipatia au software unaweza ntumia hapa samrichyoungboy20@gmail.com
wakubwa naitaji link za kucheki mpira au kama kuna software alinazo anaweza nipatia au software unaweza ntumia hapa samrichyoungboy20@gmail.com
M mnyamwezi Member Sep 25, 2007 31 13 Sep 4, 2012 #2 Unatakiwa uwe na internet unlimited baadaye type 88.80.11.29 kwenye address bar utapata mipira live inayo onyeshwa siku hiyo kwenye website hiyo.
Unatakiwa uwe na internet unlimited baadaye type 88.80.11.29 kwenye address bar utapata mipira live inayo onyeshwa siku hiyo kwenye website hiyo.
M MLERAI JF-Expert Member Apr 4, 2012 667 271 Sep 5, 2012 #4 thank you h120 nimezipata na je nitazipata tv za tanzania.
Parata JF-Expert Member Jul 26, 2011 3,090 675 Sep 5, 2012 Thread starter #5 mnyamwezi said: Unatakiwa uwe na internet unlimited baadaye type 88.80.11.29 kwenye address bar utapata mipira live inayo onyeshwa siku hiyo kwenye website hiyo. Click to expand... ok ngoja ntajaribu
mnyamwezi said: Unatakiwa uwe na internet unlimited baadaye type 88.80.11.29 kwenye address bar utapata mipira live inayo onyeshwa siku hiyo kwenye website hiyo. Click to expand... ok ngoja ntajaribu
Parata JF-Expert Member Jul 26, 2011 3,090 675 Sep 5, 2012 Thread starter #6 h120 said: Livetv.com/eng Click to expand... thanks ngoja nitest then ntarudi
Saint Ivuga JF-Expert Member Aug 21, 2008 54,363 58,386 Sep 5, 2012 #7 download sopcast na uwe na unlimited internet
Parata JF-Expert Member Jul 26, 2011 3,090 675 Sep 5, 2012 Thread starter #8 Saint Ivuga said: download sopcast na uwe na unlimited internet Click to expand... kwaiyo nitakua na option ya kucheki hapo
Saint Ivuga said: download sopcast na uwe na unlimited internet Click to expand... kwaiyo nitakua na option ya kucheki hapo