Naitaji kulipwa fedha zangu za NSSF, msaada tafadhali

codifier

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2017
Posts
438
Reaction score
872
Habari za weekend wadau wa JF.
Naomba kujua inachukua muda gani kulipwa fedha za Nssf baada ya kukamilisha maombi?

Binafsi nilikamilisha maomba ya kulipwa nssf zangu Kwa fingerprint takribani miezi zaidi ya 10 imepita lakini sijalipwa Hela zangu.

Kwa sasa nipo napambana na kilimo cha fegi shamba huku so sina nafasi ya kusafiri kwenda ofisini kwao.

Kila niki login kwenye account yangu ya nssf nakuta Contribution 0, credit 0, japo kipindi cha nyuma nilikuwa nakuta kwenye contribution wameweka kiasi nilichochangia.

Wakuu hii ni kawaida au Kuna shida? Meliezi 10 imepita bila mshiko kutoka.
IMG_20240113_162423.jpg
 
Nenda kwenye ofisi zao ukaangalie salio lako kama kila kitu kipo sawa.
 
Habari za weekend wadau wa JF.
Naomba kujua inachukua muda gani kulipwa fedha za Nssf baada ya kukamilisha maombi?

Binafsi nilikamilisha maomba ya kulipwa nssf zangu Kwa fingerprint takribani miezi zaidi ya 10 imepita lakini sijalipwa Hela zangu.

Kwa sasa nipo napambana na kilimo cha fegi shamba huku so sina nafasi ya kusafiri kwenda ofisini kwao.

Kila niki login kwenye account yangu ya nssf nakuta Contribution 0, credit 0, japo kipindi cha nyuma nilikuwa nakuta kwenye contribution wameweka kiasi nilichochangia.

Wakuu hii ni kawaida au Kuna shida? Meliezi 10 imepita bila mshiko kutoka. View attachment 2892878
Hizo pesa Kuna mjanja katafuna .Nenda kaangalie kwenye akaunt huenda zipo huko na hujaenda kuangalia
 
Kina uzi hapa kuhusu NSSF na mawasiliano yao,mods naomba uunganishe
 
Habari za weekend wadau wa JF.
Naomba kujua inachukua muda gani kulipwa fedha za Nssf baada ya kukamilisha maombi?

Binafsi nilikamilisha maomba ya kulipwa nssf zangu Kwa fingerprint takribani miezi zaidi ya 10 imepita lakini sijalipwa Hela zangu.

Kwa sasa nipo napambana na kilimo cha fegi shamba huku so sina nafasi ya kusafiri kwenda ofisini kwao.

Kila niki login kwenye account yangu ya nssf nakuta Contribution 0, credit 0, japo kipindi cha nyuma nilikuwa nakuta kwenye contribution wameweka kiasi nilichochangia.

Wakuu hii ni kawaida au Kuna shida? Meliezi 10 imepita bila mshiko kutoka. View attachment 2892878
Ndugu yangu huwezi kupata jibu la maana huku jf, rudi ofisi ulikofungulia madai waulize utapata majibu mubashara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom