Naitaji kiwanja au shamba

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,464
Habarini

naitaji kiwanja au shamba lenye ekari 1 kwa tsh. 500,000/= maeneo ya ukuni bagamoyo au popote bagamoyo
pls kwa aliyenacho anijulishe kwani ni muhimu sana. aniPM Itakuwa vyema

pls
 
Kuna sehem inaitwa kidimu, ipo km 8 kutoka barabara ya morogoro. Unaingilia kibamba, nina shamba pale nauza ekari moja milioni na laki mbili. Nicheki 0713322856 twende kazi
 
Mashamba yapo ila bei zake zimesimama sana, kuna jamaa anauza 20 kwa 20 milion moja. Kama utahitaji nikuunganishe nae.
 
Fukayosi, barabara ya lami kuelekea Msata. Shamba lipo umbali wa mita 80 kutoka mwisho wa miliki ya barabara.
Kuna heka nne hivi zinauzwa zote kwa 6 M kila moja. kama uko sawa, onesha nia.

Historia haiishiwi wino.
 
Back
Top Bottom