Naitaji kibarua cha kujishkiza

hoop

Member
Mar 16, 2017
45
22
Habar ndugu wana jamii nimekaa mtaani kwa muda sana bila kazi. Naombeni mwenye nafasi ya kunisadia kupata kibarua kitakachoniingizia 120,000/150,000 kwa mwezi nipo tayari kufanya kazi yoyote

Sichagui kazi muhimu iwe halali tu

Napatikana arusha,,

Naweza fanya kazi ktk mikoa iliyokaribu mfano dodoma, manyara, singida, tanga, dsm

Arusha is the first priority

Asanteni sana,,,na mungu awatangulie
 
Back
Top Bottom