Naitaji kampani ya nzanzibar (gals only)

Naitaji kampani ya nzanzibar (gals only)

mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2011
Posts
457
Reaction score
232
Naitaji msichana mrembo ambaye yupo tayari kwenda kisiwa Ndui Zanzibar kama kampani yaani tour guide nitalipia kila kitu juu yangu. Nitakaa wiki moja then nitarudi na kwenda. Ngorongoro na Manyara kwa siku nitalipa dola 100.

Kama unajua fanya kama unani private massage sasa
 
mshumbusi

Kuandika kwenyewe hujui,kazi kuwaza ndude tu...Nzanzibar ndo nini? Na hiyo trip kama kwenda na msichana ni compulsory kwanini usiongozane na dada yako?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom