ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Kichwa...kama umetumia dawa na bado kinauma. Jaribu kufanya eye test.
Sikio...mimi pia nimehangaika na sikio karibu mwaka mzima. nimetumia sindano, antibiotics na dawa za kuminyia sikioni lakini zikabaunzi. Nikashauriwa mtaani nitumie mafuta ya kuku wa kienyeji, nimeitumia hiyo for less a week, nikapona kabisa.
kwa hiyo naweza kutumia mafuta ya kuku hapo best asante kwa kunijuza ila nitapata wapi hayo mafuta ya kuku auni nichemshe kuku wa kienyeji ndo nipate hayo mafuta nisaidie hapa? ni hosp gani haapa dar naweza fanya checkup hiyo ya vipimo vya eye test best? au niende pale ccbrt wanavyovipimo hivyo? pls
macho ni ccbrt....lakini pia kichwa kinaweza kusababishwa na dehydration....unapaswa kuwa unakunywa maji at least one lita a day. hata kama unafanya kazi kwenye air cond...ubongo ukikosa maji ya kutosha (na mifumo ya damu) huwa unatendency ya kusinyaa na hapo kichwa lazima kiume sana
mafuta ya kuku....ni rahizi kutengeneza: tafuta kuku wa kienyeji, kisha umkaange bila kutia maji wala chumvi wala kitu chochote. akishatoa mafuta uyachukue yachuje kisha acha yapoe. Dondoshea sikioni at least twice a day. usiku na asubuhi.
(ofcourse ukishapata mafuta, endelea kumpika kuku wako kama kawaida kwa ajili ya kitoweo)
asante sana kwa ushauri na utabibu wako leo itabidi nikafanye hvyo, na kuhusu maji mm sio mpenzi sana kwa kunywa maji huwa nakunywa maji glasi moja kwa siku nzima naona happo ndio nimekosea kabisa nashukuru sana dr kwa ushauri huu acha niufanyie kazi
asante sana kwa ushauri na utabibu wako leo itabidi nikafanye hvyo, na kuhusu maji mm sio mpenzi sana kwa kunywa maji huwa nakunywa maji glasi moja kwa siku nzima naona happo ndio nimekosea kabisa nashukuru sana dr kwa ushauri huu acha niufanyie kazi
kuhusu maji, bonyeza hapa utajifunza ni kiasi gani unatakiwa unywe kwa siku.