mimi niko dar sahizNa ww uko wap saiv
Unaenda kununua au kuchimba?Ok,mi sayoyote kwanzia ss na plan ni drop huko,kama uko tayari ingekuwa kampan nzur
Hamna mkuu naenda tafta vibarua life lime ni piga
Una kifua?Habarini wakuu
Naitaji kwenda geita niko mwanza kutafta kaz kweny migodi na plants cna pakufikia wala connection za vibarua naombeni msaada wa kimaelekezo,connection au kazi.
0694934864
Nenda kwenye migodi ya wachimbaji wado wadogo huko utapata day wok.katoro,nyarugusu NK ni mingi mno uko.Wakuu nipo geita,hapa saiz nimekaa kweny vti hapa ccm cna ramani
Jana nlienda mpomvu wakanambia huu msim wamvua kaz nizashida labda mpk mhuko may ndo kaz ztaanza patikana,alf pia wananiambia ningekuwa mwenyeji ingekuwa rahis kupata laasivyo ni ngumNenda kwenye migodi ya wachimbaji wado wadogo huko utapata day wok.katoro,nyarugusu NK ni mingi mno uko.
Jana ulilala maeneo Gani hapo geita?Nna elfu nne tu mfkon cjui ata na lala wap leo