Naitaji connection za vibarura migodin geita

Naitaji connection za vibarura migodin geita

TERNe

Member
Joined
Sep 22, 2023
Posts
89
Reaction score
98
Habarini wakuu

Naitaji kwenda geita niko mwanza kutafta kaz kweny migodi na plants cna pakufikia wala connection za vibarua naombeni msaada wa kimaelekezo,connection au kazi.

0694934864
 
Habarini wakuu

Naitaji kwenda geita niko mwanza kutafta kaz kweny migodi na plants cna pakufikia wala connection za vibarua naombeni msaada wa kimaelekezo,connection au kazi.

0694934864
Una kifua?
 
Nenda kwenye migodi ya wachimbaji wado wadogo huko utapata day wok.katoro,nyarugusu NK ni mingi mno uko.
Jana nlienda mpomvu wakanambia huu msim wamvua kaz nizashida labda mpk mhuko may ndo kaz ztaanza patikana,alf pia wananiambia ningekuwa mwenyeji ingekuwa rahis kupata laasivyo ni ngum
 
Back
Top Bottom