Naisubiri Bongo Planet bila ya Dullah

Naisubiri Bongo Planet bila ya Dullah

Ila hawa jamaa EA Radio wazuri sana kwa kutengeneza watu wapya.Yote kwa yote hii ni biashara na kila mtu anatafuta riziki,kama kuna channel kaiona itampa mkwanja mrefu,acha aikamate afanye maisha.
This time around hawana new blood wakali ukiacha yule jamaa wa The Cruise
 
Hizi media za mengi zinabana maslahi sana. Sio ajabu kwa brand yoyote kubwa kuwahama!
 
Aiseee kipindi kitaboa sana maana Lesa Sidi ,Fredoo Munji na Dulla +DJ Summer TZ ilikuwa bonge la kombinenga ila kwasasa hata Lesa sidi hasikiki tangia wiki iliyopita labda na yeye anasepa...Yupo Fredoo peke yake.
 
Back
Top Bottom